Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,785
Natakiwa nilipe kitu fulani kwa Tshillings ila naweza pia kukilipia kwa Dola ...mimi nataka nikilipie kwa dola ..nafanyaje ili nipate rates nzuri au benki ipi wananunua dola kwa rates nzuri na nipate faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app