Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeona bidhaa (kimiminika)mnayozalisha inayoitwa "Morizella Juice Diet Doctor" kama kinywaji hicho nyie ndio mliokibuni kulikuwa na ulazima kuiweka picha ya Mtu mweupe? (Mzungu) kama yeye ndio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujenga sanamu la mheshimiwa Rais wetu mpendwa maana juhudi zake za kuliletea taifa maendeleo ni kubwa sana na hatujawahi kuziona mfano ujenzi wa stiglers gorge...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wafanyakazi zaidi ya 180 wa kiwanda cha kutengeneza kinywaji aina ya Mbundi mbundi kilichopo eneo la Unga limited jijini hapa,wamejikusanya mbele ya lango la kiwanda hicho wakimlalamikia mwajiri...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
MKAZI wa Lizaboni Manispa ya Songea mkoani Ruvuma, Mohammed Hamim, ameuawa kwa kupigwa na kipande cha bomba la chuma kichwani alipokuwa akiamulia ugomvi wa mume na mkeo ambao ni majirani zake...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Miwani ya Macho ilianza kutafsirika kama alama ya Usomi mtaani, Vilaza wengi wakakimbilia miwani angalau wapate pango la kujifichia. Kwa saba tumevuka mipaka miwani ya macho yenye flemu za...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mikutano ya Tundu Lissu imeonekana kuwa na faida kwa Kangi Lugola.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kangi kama Ameweza Kuuliza kwa nini Dereva wa Lissu hakupigwa risasi hata moja na risasi zote zikampata Lissu pekee nadhani hawezi kushindwa kuuliza kwanini dereva wa Mwigulu Mchemba hajaumia...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Mkuu kuna mdogo wangu wa kike anasumbuliwa na Maruhani mno, moja ya matukio yanayomsumbuwa ni pamoja na muda mwingine kushindwa kupumua, au kupoteza nguvu au kuwa na hali ya kuyumbayumba kama mtu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtoto wa bro ana miaka 9 anasoma darasa la 4. Na pia ni mwendaji mzuri wa Madrasa. Kuna zee moja chawi ,lina ushetani limeanza muda kumuita mchumba mchumba kama haitoshi. Last week limenisimamisha...
3 Reactions
100 Replies
8K Views
KINACHOENDELEA N ZAIDI YA MASIKITIKO KWA KWELI MIKUTANO MINGI YA INJILI.N YA KUFUNGUA WATU WALIOTESEKA NA VIFUNGO VYA SHETANI WATU WANAKUJA KUPATA BREAK THROUGH NA SIO KUSUBIRI MAJUNGU WAPENDWA...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Heshima sana wanajamvi, Dr Reginald Mengi ni mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wazawa lakini jambo la kushangaza katika kampuni zake Bonite Bottlers top management yake yote kaajiri Wahindi na si...
7 Reactions
67 Replies
11K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi wa wilaya ya Iringa imewahukumu kifungo cha miezi sita kila mmoja wahamiaji haramu kwa kosa la kuingia nchini bila vibali huku wahamiaji wengine saba raia wa Ethiopia na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Camel meat is not Halal in the Torah. It is 'unclean' in the same catagory with pork (Leviticus 11:4-7). Ukisoma utaona kuwa ngamia ameweka kundi moja na nguruwe katika kitabu cha Torati. Lakini...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Mfanyakazi wa shirika la reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), Bahati Selemani amekamatwa na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, (TAKUKURU), mkoani Mbeya kwa tuhuma za kuomba na kupokea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada wadau, nina coffetable yangu Ya kioo na miguu yak ni ya shaba sasa mguu mmoja umetoka je nitumie nini kuunga tena huo mguu?? Meza yangu naipenda mnoo sitak kuitupa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi nimeingia 'IG' Instagram yaani Nikaona tangazo linasema kuwa 'kwa mahitaji ya sex toy(Midoli ya ngono) kama uume bandia na Uke bandia" nikaona ni jambo la kawaida kidogo.. nikapuuza ila kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SERIKALI imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamlaka ya mapato TRA mkoa wa Njombe imefanya oparesheni ya dharura ya ukaguzi wa mashine za kielektronic za kukatia risiti katika taasisi za shule , Zahanati pamoja na vituo vya afya na kubaini...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…