Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wana jamvi, habarini za siku nyingi. Jioni ya leo nilikuwa nafatilia vipindi kadhaa kwenye televisheni baada ya kurudi kazini mapema, hakuna mipira (hata mfuko pia hauko vizuri)...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo nimeenda hospitali ya rufaa ya Amana kutibiwa masuala ya ngozi,cha ajabu mapokezi wameniambia kuwa dr wa ngozi amesafiri na atarudi mwezi wa 3 tarehe 15,sasa wajameni akirudi si atakuta fangaz...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Unamsaidiaje mtu alie nchi za watu mbali kabisa na Tanzania ambae hana nauli na uwezo wa kupata pesa hana kwani hana shughuli ya kujipatia kipato? Je ni njia gani reliable za kupokea hela mfano...
0 Reactions
2 Replies
652 Views
Nilikuwa nikifuatilia kipindi cha nyundo ya baruani muhuza kilichokuwa kikirushwa na azam TV leo jumapili saa 4 asubuhi. Huyu jamaa kwa sasa anaishi marekani na alikuwa ni mchezaji wa mpira hapa...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linamshikilia mwanamke wa mtaa wa Nangara Babati mjini, Ramla Omary (23) kwa kosa la kutupa kichanga katika shimo la kichuguu karibu na nyumbani kwako mara baada ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Maaskari wa Indonesia wamemkamata bwana Abdul Rahman Asman, raia wa Tanzania, ambaye alipatwa amesindika madawa ya kulevya kilo moja kwenye tumbo lake. ----------------------- . A Tanzanian...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata katoni 10,786 za pombe kali zilizokuwa ziingizwe sokoni bila kulipiwa ushuru wa bidhaa. Pombe kali hizo aina ya Shimha Waragi zimekatwa na kamishna mkuu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari ya jumapili wana JF Naomba niende moja kwa moja katika mada husika. Kuanzia tarehe 27 mwezi wa kwanza, TRA Morogoro, kumekuwa na hili tatizo, tatizo hili lipo katika upigaji wa picha za...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Yapata mwaka wa tatu sasa tangu niamie kwenye kijiji hiki ambacho M/Mungu amekijalia neema nyingi sana yanayositawi kila zao la chakula na biashara ni kanda ya ziwa. Kuna huduma kadhaa muhimu za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wandugu kwa aliepo veta shinyanga, ninategemea kujiunga na chuo jan 30. Kozi ya P.O. kama kuna mdau yupo huko tupeane uzoefu na changamoto zilizopo huko, niko arusha" nawakilisha.... Updates...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Naomba anayeujua msimamo wa Serikali yetu kuhusu mustakabali wa mazingira ya Tanzania atusaidie tafadhali? Rais ameshasema asingependa kuona mtu aliyelima ndani ya eneo la mto (linanolozuiwa...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Tumsifu Yesu Kristo, Muujiza huu ulifanyika mwanzoni mwa karne ya saba, wakati mtawa wa Basilia alipokuwa akisoma Misa. Baada ya kubariki mkate na divai, alianza kuona mashaka kama kweli katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Tanzania search for missing millions raises questions over $1 billion BY TZ FEBRUARY 13, 2019 0 SHARE: Tanzania has declined to release a worrying audit into its public finances. We analyse and...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
👇 "Kama umetumwa kuja kusikiliza take this message, kama umetumwa kuja kuchukua maneno, peleka maneno yangu haya" Na humo ndani alikuwepo mwenye mavazi hayo hapo kwenye picha, je mh. Mbunge...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Chukua tahadhari sana km uko katika hayo makundi,chaguzi za serikali za mtaa,madiwani,Rais unakaribia. Hiki ndio kipindi matukio mengi ya ajabu yanatokea,umakini unahitajika sana. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kwa maisha tuliyo fikia sasa siyo ya kuokota/kununua kwa mtu simu aina ya smart phnone. Ndugu zanguni katika mahangaiko yenu huko njiani/barabarani ukikutana na simu aina ya SMART PHONE...
16 Reactions
110 Replies
13K Views
Kituo kimojawapo ya vituo vya afya kata ya Kaloleni jijini Arusha kimekuwa hatarishi kwa afya za watu wanaoishi maeneo ya Kaloleni na Ulezi pamoja na wanaofanya shughuli zao maeneo ya stand kuu ya...
1 Reactions
0 Replies
664 Views
Kwa kawaida Binadamu ana Mambo Mengi sana ndani yake, kiasi kwamba hadi sasa tunavyovijua ni vichache mno kuliko tusivyovijua. Leo Nitawaleteeni Funzo fulani kuhusu saa za mwisho mtu anakaribia...
6 Reactions
26 Replies
7K Views
Kuna Taarifa kutoka kituo cha Habara (ITV) inaonesha jamaa Mmoja Mpangaji alikuwa anaweka ndani uchafu (takataka) hii swala lina niacha na maswali mengi sana ? Kwa wale unaofahamu maswala haya...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Amani iwe kwenu. Mbunge wa jimbo la Mwibara; mh. Kangi Lugola, anatakiwa kufika mahakama ya ardhi mjini musoma kujibu tuhuma zinazomkabili. The district land and housing tribunal Musoma...
3 Reactions
90 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…