Anayekifamu VETA Shinyanga anijuze

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,730
1,868
Wandugu kwa aliepo veta shinyanga, ninategemea kujiunga na chuo jan 30. Kozi ya P.O. kama kuna mdau yupo huko tupeane uzoefu na changamoto zilizopo huko, niko arusha" nawakilisha....

Updates....
Hata kwa alieko jirani tu na chuo nahitaji kujua kuhusu garama za kukaa mtaani (chumba) nk.
 
kwani uko Arusha hakuna vyuo?
 
Kwani wewe uko shinyanga? Ila hiyo kozi ninayoitaka inatolewa huko" hulali! [HASHTAG]#eddy[/HASHTAG]
 
Wandugu kwa aliepo veta shinyanga, ninategemea kujiunga na chuo jan 30. Kozi ya P.O. kama kuna mdau yupo huko tupeane uzoefu na changamoto zilizopo huko, niko arusha" nawakilisha....

Updates....
Hata kwa alieko jirani tu na chuo nahitaji kujua kuhusu garama za kukaa mtaani (chumba) nk.

Shy chumba kuanzia elf15-30 single cha umeme! Pia nunua baiskel ya mtumba maana ndo usafr, chakula mtaani buku au ukipanga anza maisha ya kupika! Shy is ma home city ila sahv nipo kisiwa cha malavidady! Pia naweza kukupa namba ya mwl wa hapo kwa kujua gharama zaid, ni pm 4more!
 
Write your reply...Wakuu naombeni kujuwa coz ya Operate ni kozi ya mda gani na gharama ipo vipi na process ya kujiunga na chuo icho pls mwenye kujuwa anksaidie
 
Back
Top Bottom