Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;š
"Kama umetumwa kuja kusikiliza take this message, kama umetumwa kuja kuchukua maneno, peleka maneno yangu haya"
View attachment 1023399Na humo ndani alikuwepo mwenye mavazi hayo hapo kwenye picha, je mh. Mbunge alikuwa na maana gani?
Unaumia bure kwa roho ya jiwe!!!!Km imerudiwa kinachokuuma nnKweli wewe ni bongo lala hii coment nimeiona unaitumia kwenye zaidi ya post kumi na ushee ni mwendo wa kucopy na pest kwani lazima?
Kila mwenye ugonjwa spate dosi. Maana si wote wameiona hukoKweli wewe ni bongo lala hii coment nimeiona unaitumia kwenye zaidi ya post kumi na ushee ni mwendo wa kucopy na pest kwani lazima?
Mnqtujazia seva kwa maujingaUnaumia bure kwa roho ya jiwe!!!!Km imerudiwa kinachokuuma nn
Bado sijayaona wala kuyasikia hayo maneno aliyoongea LISU embu fafanua nielewe..š
"Kama umetumwa kuja kusikiliza take this message, kama umetumwa kuja kuchukua maneno, peleka maneno yangu haya"
View attachment 1023399Na humo ndani alikuwepo mwenye mavazi hayo hapo kwenye picha, je mh. Mbunge alikuwa na maana gani?
Pumbavu!!Mnqtujazia seva kwa maujinga
Bado sijayaona wala kuyasikia hayo maneno aliyoongea LISU embu fafanua nielewe..
Acha unafikiHakuna haja ya chochote hapo wakati yeye anasema walimshambulia anawajua yeye aseme tu.
Mama yakoPumbavu!!
Acha roho ya shetani isikutalawe aseee.
Hebu leta hizo comment zilizorudiwa uko ulipoziona vinginevyo utakuwa mmbeya tu wewe.
Vinginevyo pole sana, malezi mabaya ndiyo yamesababisha haya š¢!.Mwenye hizo coment hajalalamika anajuwa alichofanya sasa wewe mke wake ambaye huna A wala B umekuwa na kifront front.watch out atakuoela mke wa pili.
Endelea kunifahamu.Kwa ninavyokufaham na hizi lugha unazoandika hapa hata babu yako akifungua jeneza na kusoma mavi uliyoandika hapa anaweza kuomba mlima umfunike.
Vinginevyo pole sana, malezi mabaya ndiyo yamesababisha haya [emoji22]!.