Alex kajumulo mbona anaongea kwa dharau sana na kujiona

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,200
2,000
Nilikuwa nikifuatilia kipindi cha nyundo ya baruani muhuza kilichokuwa kikirushwa na azam TV leo jumapili saa 4 asubuhi.

Huyu jamaa kwa sasa anaishi marekani na alikuwa ni mchezaji wa mpira hapa nchini .

Huko marekani anamiliki kampuni yake ya vifaa vya michezo hasa kutengeneza jezi. Na kampuni hii ya kajumulo imetapakaa nchi takribani 85 duniani kama alivyokuwa anajinasibu.

Baruani alikuwa akimuuliza baadhi ya maswali jamaa anajibu shortcuts sana alafu kwa dharau sana.

Yaani ni mtu wa kupenda kunyeyekewa sana na kuwaona watanzania wavivu sanaaa.

Jamaa anaongea kiswahili kama vile hakijui eti. Anaongea kama wamarekani hivi.

You know you know zimekuwa nyingi sanaaa.

Mwenye CV ya huyu jamaa anipe niione.Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
10,037

Huyo niliishi nae mtaa mmoja kabla hajaondoka kwenda USA ingawa yeye ni mkubwa sana kwangu aliondoka tz kwa mara ya kwanza mwaka 89 ,pia kuhusu kucheza Moira hajawahi kucheza mpira timu yoyote hata ya pale mtaani tulipokuwa tunaishi alikuwa mshabiki tu, kuhusu dharau labda kabila linachangia
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,462
2,000
Sina uhakika kama aliwahi cheza soka la ushindani labda kama soka la kitaa lile la magoli madogo, ila kumbukumbu zangu kama zitakuwa sawa basi aliwahi kumilki timu ya mpira
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
37,572
2,000
Alitingisha sana Miaka ya mwisho wa 90's kwa kutembeza fedha kwenye timu tanzania...ALEX KAJUMULO.

Kampuni 85 dunia nzima? Kweli jamaa mtu wa CHAI sana!!!
 
Mangungu

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,706
2,000
Huyo niliishi nae mtaa mmoja kabla hajaondoka kwenda USA ingawa yeye ni mkubwa sana kwangu aliondoka tz kwa mara ya kwanza mwaka 89 ,pia kuhusu kucheza Moira hajawahi kucheza mpira timu yoyote hata ya pale mtaani tulipokuwa tunaishi alikuwa mshabiki tu, kuhusu dharau labda kabila linachangia
Kacheza Kajumulo kaka,hadi ikashuka daraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom