Kukaribia uchaguzi: Tuwalinde albino, watoto na wanawake

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Chukua tahadhari sana km uko katika hayo makundi,chaguzi za serikali za mtaa,madiwani,Rais unakaribia.

Hiki ndio kipindi matukio mengi ya ajabu yanatokea,umakini unahitajika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom