Lipijema
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 953
- 1,540
Yapata mwaka wa tatu sasa tangu niamie kwenye kijiji hiki ambacho M/Mungu amekijalia neema nyingi sana yanayositawi kila zao la chakula na biashara ni kanda ya ziwa. Kuna huduma kadhaa muhimu za kijamii, Kama vile umeme maji na nyumba za ibada.
Kinacho nishangaza kwenye hiki kijiji ni mfurulizo wa vifo baada ya mavuno tu, tangu mwezi wa kwanza hadi leo tumisha fiwa na watu zaidi ya nane! kwa vifo vya kawaida tu, kama ilivyo kawaida ya siku za miaka ya nyuma kipindi kama hiki cha mavuno huwa kuna misiba mingi inayo ongozana hivi hivi hadi kufikia mwezi wa kumi pindi kilimo kitakapoanza tena ndipo misiba upungua au kutokuwepo kabisa.
Pia huwa kuna mpangilio maalum wa vifo, wanaweza wakaongozana wazee wee,baadaye vijana na kufuatia watoto! Nimesema watu nane hivi, lakini wote hao ni wazee wa kike wenyewe tunawaita[Wakikulu]