Kuna watu wa Ajabu sana Aseh , Lile Tukuio la kukutwa Takataka kwenye Chumba cha Mtu linachangiwa na nini?

Mayor Slum

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
751
1,121
Kuna Taarifa kutoka kituo cha Habara (ITV) inaonesha jamaa Mmoja Mpangaji alikuwa anaweka ndani uchafu (takataka) hii swala lina niacha na maswali mengi sana ?

Kwa wale unaofahamu maswala haya hebu naombeni utusaidie kwenye hili tukio na mtu kuweka takataka ndani ya chumba

Je linahusiana na swala la ushirikina?

Au ni nini kinachangia watu kufanya hivi kuweka takataka kwenye chumba ?
Matatizo ya Akili?

Najiuliza maswali kuhusu swala hili ila sipati Majibu.

Inawezekanaje Mtu Mwenye akili timamu aweke takataka kweli kwenye chumba?

Nimebaki nafikiria ila sipati majibu,Mtu kuweka takataka kwenye chumba haiwezi kweli kuleta madhara kwa watu wengi hasa majirani kupatwa na
Magonjwa
Harufu Mbaya

Au Mtu anakuwa Mwehu alafu anapangishwa Nyumba, anakua anaishi na uchafu?

Yaani mtu analeta kazi zisizo za lazima kwa majirani watu kuanza kutoa (kuzoa ) taka alizo weka Mwenye

Hili tukio ni la maajabu sana aseh ?Najiuliza sipati hata majibu ?

Kwa Mnaofahamu hili linachangiwa na nini ebu tuambie au mliowahi kukutana na hili swala .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanaume kawaida Sana, Mimi mwenyewe chumba changu kimejaa makopo ya maji na juice,vipisi vya sigara,nguo chafu,mchanga, mwanaume unatakiwa uwe mchafu mke wako ndo aje aku- shape kidogo,mimi nikiona mwanaume msafi kama mwanamke huwa napata hisia kwamba huyu atakuwa shoga huyu

Noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kawaida bana utiashije kwenye chumba ambacho Kimejaa uchafu kama jalala ,Yaani Mpaka Majirani wanasaidiana kusafisha kwa Siku mbili ,Uchafu ukiwa kidogo poa ila ukizidi haileti Maana kabisa lazima utajishutukia hata ww mwenye tu ,Sasa watu wamekaa hadi wakaona chumba kinatoa Moshi ndio wanameshituka ,Hapana kuna kitu kwa mtu anaye fikiria hii issue lazima ashangae sana .
Kwa mwanaume kawaida Sana, Mimi mwenyewe chumba changu kimejaa makopo ya maji na juice,vipisi vya sigara,nguo chafu,mchanga, mwanaume unatakiwa uwe mchafu mke wako ndo aje aku- shape kidogo,mimi nikiona mwanaume msafi kama mwanamke huwa napata hisia kwamba huyu atakuwa shoga huyu

Noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mwanaume kawaida Sana, Mimi mwenyewe chumba changu kimejaa makopo ya maji na juice,vipisi vya sigara,nguo chafu,mchanga, mwanaume unatakiwa uwe mchafu mke wako ndo aje aku- shape kidogo,mimi nikiona mwanaume msafi kama mwanamke huwa napata hisia kwamba huyu atakuwa shoga huyu

Ulichoandika ndio maisha ya vijana wengi wanaoishi ghetto, ukikuta siku anafanya usafi basi kuna demu anakuja.

Ila hapo penye red sio kweli.
 
Kuna Taarifa kutoka kituo cha Habara (ITV) inaonesha jamaa Mmoja Mpangaji alikuwa anaweka ndani uchafu (takataka) hii swala lina niacha na maswali mengi sana ?

Kwa wale unaofahamu maswala haya hebu naombeni utusaidie kwenye hili tukio na mtu kuweka takataka ndani ya chumba

Je linahusiana na swala la ushirikina?

Au ni nini kinachangia watu kufanya hivi kuweka takataka kwenye chumba ?
Matatizo ya Akili?

Najiuliza maswali kuhusu swala hili ila sipati Majibu.

Inawezekanaje Mtu Mwenye akili timamu aweke takataka kweli kwenye chumba?

Nimebaki nafikiria ila sipati majibu,Mtu kuweka takataka kwenye chumba haiwezi kweli kuleta madhara kwa watu wengi hasa majirani kupatwa na
Magonjwa
Harufu Mbaya

Au Mtu anakuwa Mwehu alafu anapangishwa Nyumba, anakua anaishi na uchafu?

Yaani mtu analeta kazi zisizo za lazima kwa majirani watu kuanza kutoa (kuzoa ) taka alizo weka Mwenye

Hili tukio ni la maajabu sana aseh ?Najiuliza sipati hata majibu ?

Kwa Mnaofahamu hili linachangiwa na nini ebu tuambie au mliowahi kukutana na hili swala .

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wake walimkatalia kuoa mwanamke anayempenda.
 
Ni ugonjwa wa akili known as compulsive hoarding...sio kila kitu ni uchawi. Google for it!

"heart broken"
 
Back
Top Bottom