Mwili wa mwanamke mmoja ambaye jina lake halijatambulika anayekadiliwa kuwa na kati ya miaka 25 na 27 umekutwa ukiwa umetupwa katika nyumba chakavu huku ukiwa umekatwa sehemu za siri na titi lake...
nasema hivi kwa sababu kuna jamaa ndugu zake wa karibu hawataki hata kumuona wala kumsikia kipindi hiki kigumu akiwa amefilisika hana hela, mambo yake magumu hana mbele wala nyuma ,
lakini...
Wasalaam Sana
Nikianzia Kiluvya kituo cha Camel, Kibamba kwa mangi kuna kituo uduru, Nbezi Mwisho sheli vimeshavunjwa
Vilivyobaki ni Luguruni pale chuo, Mbezi kwa Yusuph, kwa Nsuguri na Kimara...
SERIKALI imenunua korosho gha tani 214,269.684 zenye thamani ya Sh bilioni 717.1 sawa na asilimia 89.3 ya lengo la uzalishaji wa zao hilo. Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba ametoa takwimu hizo...
Mungu anapoamua jambo liwe binadamu hana uwezo wa kulizuia . Enzi zile za michuano ya kugombea urais wa Marekani kati ya Hillary Clinton na Obama, ingawa wote walitoka chama kimoja lakini...
Wadau huku kwetu Iringa tunazidi kuvurugwa kila siku tokea aletwe huyu kada wa CCM kama RC wa Iringa..Ukiachilia mbali bendera za CCM zililizozagaa kwa wingi kwa sasa hapa mjini katika baadhi ya...
Wadau Kuna Gari kama Inavyooneka Pichani no za Usajili ni T961 BZT lipo Katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B Sasa liko pale Takribani Miezi 6 toka limeharibika na Lilipo sio sehemu salama kwani...
Habari za jumapili wanajukwaa.Mungu ni mwema kila wakati.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la mada hii.
Kwako waziri Wa ardhi,mhe. Sana William Vangamembe Lukuvi,salamu kwako,aidha baada ya...
Mda mchache ilopita majira ya saa tisa unusu gari uliyokuwa imebeba mchanga imepata ajali ya kupinduka katika Barabara ya Sirari Msoma.
Mashuhuda wanasema gari hyo ilikuwa kwenye speed kubwa na...
Kutokana na hali ya siasa ilovyo nchini ni kawaida kumkuta kiongozi aliye aminiwa na wananchi akiwashutumu vijana wanao maliza chuo kwa kushindwa kujiari.
Lakini yeye tayari yupo ajirani.
Viongozi...
Habari za mchana wanajamvi,
Kwa siku 3 mfululizo mpaka jana usiku,ITV kwenye taarifa yake ya saa mbili ilikuwa inaonesha taarifa ambayo habari zake si za kawaida mbele ya macho na masikio ya watu...
“Tunawagawia wote mpaka wale wanaookota makopo barabarani,” ni kauli ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme akizitaka Halmashauri zote za Mkoani humo kuhakikisha zinagawa vitambulisho kwa...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya kiserikali ya siku nne mkoani Kigoma leo kuimarisha zao la michikichi kama moja ya mazao makuu ya kibiashara kwa kulipa kipaumbele zaidi...
Heshima kwenu wakuu!
Naomba kujua kwa wenye kujua.
Hapa mtaani kwetu wamekuja maafisa kutoka jiji na kupita kila nyumba na kuwaandikia "STOP KIBALI" na wamefanya makadirio kila wanavyoithaminisha...
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza...
Habari za jumapili waungwana
Uzi huu hauna mrengo wowote wa ubaguzi wa kikabila,na nimeamua kuuleta huku jukwaa la siasa kwa sababu naamini huku kuna viongozi/watumishi wengi wa serikali wenye...
Wanajamvi.
Nimekuwa mteja wa mabasi haya kwa muda mrefu nikivumilia kero zote lakini hili la uchafu wa mabasi naona sasa ni uzembe uliopitiliza.
Kwakweli hii ni aibu kubwa kwa menejimenti ya huu...
Kwa mara ya kwanza nimeamua kutaja orodha maalumu ya vitabu, filamu na nyimbo ambazo kwa upande wangu nimeona zimefanya vizuri kwa upande wangu.
Ifuatayo ni orodha yangu ya kawaida niliyotoa leo...
Na sio roho mbaya hapana.! Bali kuna hali na hisia fulani unajisikia mwilini pale unapoona mtu uliyekuwa ukihustle naye anazidi kutoboa wakati wewe umekwama hapohapo. Hiyo hali inaumiza wengi sana...
Kwa nini iwe malipo ya ulichokifanya ni kile ulichokifanya?
Yaani umelima sana alafu unaambiwa ujira wako ni kulima saaana.
Yaani umesoma saana alafu unaambiwa malipo yako ni kusoma saana.
Hii...