Katika kuboresha huduma za kibenki nchini Maendeleo Bank lao imetoa zawadi kwa washinidi wake wanne wa droo ya kwanza ya bahati nasibu ya ‘Maendeleo pamoja na wewe’ iliyochezeshwa tarehe 31/8/2017...
Kiukweli inauma sana, Watumishi wa serikali ambao waliokuwa wanahitaji huduma za mikopo toka benki hii wanaendelea kusumbuka pasipo sababu za msingi .
Tangu mwezi march / April fomu za mikopo...
Ujenzi wa soko kuu la mji wa Morogoro sasa umeshika kasi baada ya kusimama kwa kipindi kirefu. Twamkaribisha mheshimiwa wk end hii aje 'kumimina' baraka zake.
Viongozi wa dini nao tushawapanga...
Nazungumzia hizi mita zinazotumia remote.
Sina shida na lengo kuu la kudhibiti mianya ya wizi wa umeme, shida yangu ni kwenye ubora wa hizi mita na remote zake na hasara inayo patikana kutokana...
habari wadau.
maana ya kuwa na asset na mali nyingi ni nini?
kama hata ukiumwa hazikusaidii chochote unabebesha mzigo wengine..
tujadili hili kazi ya asset ni nini?
je tunatafuta mali za kazi...
MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga, Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake.
Tukio hilo lilitokea juzi katika kijiji hicho ambako Sekizenge...
Kwenye kitabu cha mwanzo, alipotoa hukumu alisema Mwanamke atazaa kwa uchungu na atatawaliwa na Mwanaume
Kwa Mwanaume alisema utatafuta kwa jasho, hivyo basi tangu mwanzo majukumu yote ya...
Kila mmoja wetu anao wajibu wa kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi (Maneno Basi, Sasa Vitendo)
Mama anapewa nafasi ya kwanza kabisa hata kwenye vitabu vitakatifu yaani Quruan na Biblia, sasa basi...
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi mweka hazina wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Thomas Chogolo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili za ubadhilifu wa makusanyo ya...
Mwenyekiti wa kitongoji cha Usinge Kati anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumlawiti kijana mmoja.
Mtuhumiwa na wezake walifanya kitendo hicho cha kumlawiti huyo kijana na kisha wakamshindilia...
Sakafu ya Bahari Siri Zake Zafunuliwa
TWAHITAJI kuelewa kindani kidogo jinsi ambavyo dunia imeumbwa ili tuweze kuelewa mambo yaliyoonwa na watafiti waliokuwa kwenye chombo cha Alvin. Yaaminika...
Kuna kundi la vijana ambao wao kuanzia asubuhi hadi saa sita usiku wapo wapo tu hapo kijiweni karibu na hosteli ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu ( nyanja) bila ya kazi yeyote ya halali ya...
Leo nimepita maeneo flani nimekuta kuna mtu wa kutoka Manispaa akitangaza kwamba wamachinga na wajasiliamali wote wanapaswa kwenda ofisi za mtendaji kwa ajili ya kupata vitambulisho vya ulipaji...
MARADHI MABAYA SANA KWA WATANZANIA …
“Hawataki kusoma vitabu na hawako tayari kuchangia elimu”
Wamarekani wana kiu ya kusoma vitabu tofauti na Watanzania na huu utamaduni wa kutosoma vitabu...
MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro, amemuondoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Deusdedit Nsimeki kwa kushindwa kudhibiti matukio ya uhalifu likiwamo wimbi la mauaji ya watoto, mkoani...
Kuna TV nataka kununua hapa sasa nashindwa kuelewa hizi mambo zina maana gani.
Naona kuna mfano Samsung smart Led TV na Samsung Full HD led Tv.
Hizi zina tofauti gani na ipi ina ubora kuliko...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu na kwa vile Jf kuna darubini kali ningeomba kumfahamu mtu huyu ambaye amejipambanua kama mdau na mchangiaji wa maendeleo ya elimu mkoani Mbeya na...
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....
Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni...