Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

Wiki hii Baba Hajafanya Show Yoyote Kunani?

bmk

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
571
Reaction score
861
Kama kawaidaaa kama ngomaa kama dedeee, tumezoea kila wiki Baba anapiga show MUBADlSHARAAA kabisa. Leo ni Ijumaa KIMYAAAA hakuna MUBASHARA wowote.....

Japo Janaaa Kaka wa Jijiii, Ilikuwa ni Kumbukizi ya kuja kwake duniani....Haijakiiii wala nini......


Da ila Baba amefuruliza kweli.....toka Yia 2019 ianzee yaani full MAMUBASHARAA....dadadeekiii....kidogo tu MUBASHARAAAA.......


Kunani hukooooo??????

Mbona wiki hiii kimyaaaaaa...............?????

Hata mgwasi yule talk wake kimyaaaaaa........!!!


KUNANIIIIII.......????!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseèe

Utaitwa kisutu...

Ili mradi tu uhenyeke...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi poa tuu kwani kuitwa kitu gani mzee baba....

walikuwepo akina nanii wakapotea...hata nikipotezwa poa tuu....Ulizaliwa, uishi, ufe (unakufa kifo gani mi sijui)

#Mambonimengimdamchache[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

So kisutu poaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tune ya mziki wa Sillu inamuumiza baba masikio
[emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sillu noma anakavoice kwa sauti ya kwanza kanakera sana Lumimbaaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani msiponiona kanitafuteni mto ruvu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi poa tuu kwani kuitwa kitu gani mzee baba....

walikuwepo akina nanii wakapotea...hata nikipotezwa poa tuu....Ulizaliwa, uishi, ufe (unakufa kifo gani mi sijui)

#Mambonimengimdamchache[emoji14][emoji14][emoji14][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

So kisutu poaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejizira aseee

...wao ndo washatufikisha hapa,tusiache kusema

Paza sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katulia zake salasala. Maskin jamaa anauguza maumivu makali sana kwa kina Jackie Chen. Inauma sana mke kuchepuka na kubeba mimba. Balozi wetu ndiye mtanzania pekee mwenye kifua
Hahahahaaaaaaa

Si unajua dereva wa lori ana dem kila kituo


Ila wabongo n nyoookro...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom