Ni kawaida sana kwenye msiba marehemu kuzungumziwa kwa mazuri. Na hii imetokea sana kwenye vifo vya watu maarufu especially wasanii. Imefikia hatua wadau wa muziki wakilalamika na kutiana wenyewe...
Kabla ya kutoa maoni yangu, niweke link kabisa.
No more ads for Rwanda's herbalists
Na hii inahusu Rwanda kupiga marufuku matangazo kwa waganga wa jadi (wakiwemo wachawi, wapiga ramli, wasoma...
Familia moja ya watu zaidi ya 10 yenye asili ya kiasia wakazi wa eneo la Sabena katikati ya jiji la Arusha,hawana mahala pa kuishi kufuatia nyumba yao kuvamiwa na kuvunjwa na vitu kutolewa nje...
BENKI ya Ushirika Mkoani Kilimanjaro(KCBL), 'imekufa',ndiyo ninasema imekufa kwa sababu mpaka sasa haitoi huduma,ukifika ndani ya benki hiyo unakutana na ukimya uliotanda,kuna wateja wasiopungua...
Sijajua utaratibu ukoje ila natoa tu pendekezo kuwa ile korosho iliyorejeshwa kwa wakulima kwa kukosa sifa, basi wakulima hao waruhusiwe rasmi kuiuza kwa wanunuzi wowote ndani na nje ya nchi...
M-Thailand alietishia kuifuta account ya Mark Zuckerberg, Jana ameanza kutema Cheche na kuitest mitambo yake.
Alifanikiwa kuzifuta account za Facebook takriban mil. 50 usiku wa kuamkia Leo na...
Baada ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Somalia kuharibika wafanyabiashara wa Mirungi wameanza kile kinachoitwa Vita vya kiuchumi.
Wafanyabiashara hao kwa kushirikiana na Serikali yao wameapa...
Amani Iwe nanyi nyote.
Napenda kuchukua fursa hii kuongea na kila mtu ambaye maisha kwake yamekua mlima mkubwa.
Kwanza napenda ujue sio mapenzi ya Mungu wewe upitia hayo unayo yapitia.
Ila kwa...
Tanzania-based mining company Acacia returned to profitability in 2018, posting net earnings of $59 million after a net loss of $707 million the previous year.
The London-listed company said its...
MASHAMBULIO MAKUU YA UMEME DHIDI YA BINADAMU NA NAMNA YA KUMUHUDUMIA
Kabla ya kujua namna umeme uavyo mshambulia binadamu hadi mara nyingine kuweza kumuua,ni vizuri tukafahamu vitu vikuu...
Baada ya Waziri wa mazingira mh January Makamba kuweka wazi nafasi ya Diamond katika kampeni za urais mwaka 2015 nimeelewa ni kwanini Diamond huwa na jeuri hata anapozungumza au kujibishana na...
Kumbe ATCL wanafanya vyema kuliko Kenya Airways. Ya kuwa KQ wako na ndege tatu tu na zingine ni za yale mapapa chini kwa chini, ama kweli nchi huliwa na wenye Meno.
SHOCK as it emerges KQ owns 3...
TAKWIMU kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) zinaonesha kuwa kuna wastani wa wagonjwa wa Ukimwi 10,123, lakini ni wagonjwa 3,534 ndio ambao wako kwenye kliniki ya ugonjwa huo pamoja na...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) yatoa taarifa hii
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwakumbusha wananchi wote kuwa Huduma ya Usajili na Utambuzi wa Watu kwa ajili ya...
MKAZI wa kijiji cha Kilongo, Muheza mkoani Tanga, Saidi Sekizenge (72), amefariki dunia kwa kuteketea kwa moto akiwa shambani kwake. Tukio hilo lilitokea juzi katika kijiji hicho ambako...
Wanajamvi,
Kuna kitu nimekishuhudia Leo kimenikera yaani nimejikuta naanza kuchukia Sasa hii serikali Kama kweli ndo inatoa maagizo haya.
Leo asubuhi MTAANI kwetu MAKONGO wamepita askari mgambo wa...
Leo ni birthday ya aliyewahikuwa Rais wa Zimbabwe, Robert G Mugabe. Tujikumbishe machache kuhusu yeye.
Robert G Mugabe alizaliwa tarehe 21/2/1924 huko Kutama, Southern Rhodesia ambayo kwa sasa...
Mtu Mmoja ameripotiwa kujeruhiwa kwa mkuki na maboma zaidi ya 20 kuchomwa moto kutokana na mgogoro wa ardhi
Tukio hilo limetokea katika eneo la Mferejini lililopo mpakani mwa Wilaya ya Arumeru na...