Happy birthday Robert Mugabe

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
410
500
Leo ni birthday ya aliyewahikuwa Rais wa Zimbabwe, Robert G Mugabe. Tujikumbishe machache kuhusu yeye.

Robert G Mugabe alizaliwa tarehe 21/2/1924 huko Kutama, Southern Rhodesia ambayo kwa sasa ndio Zimbabwe. Alisoma Kutama Collage na baadae University of Fort Hare, lakini pia alishawahi kuwa mwalimu huko Zimbabwe na Ghana pia.

Mugabe ni mwanasiasa na mwanamapinduzi wa Zimbabwe na alishawahi kuwa Mwenyekiti wa chama cha ZANU mwaka 1975-1980 na kuwa Makamu wa Rais mwaka 1980-1987, wakati huo Rais wa Zimbabwe alikuwa anaitwa Canaan Banana chini ya chama kilichojulilana kama ZANU.

Robert G Mugabe alikuwa Rais wa Zimbabwe mwaka 1987-2017, chini ya chama cha siasa kinachojulikana kama ZANU-PF, hii ni baada ya kuunga chama cha ZAPU(Zimbabwe African People's Union) na ZANU(Zimbabwe African National Union).

Zimbabwe ilipata Uhuru wake tarehe 18/4/1980 kutoka kwa mkoloni wake ambaye ni Muingereza. Hivyo Mugabe ni Rais wa pili wa Zimbabwe na aliondolewa madarakani mwaka 2017 na kwa sasa Rais ni Emmerson Mnangagwa ambaye alikuwa Makamu wa Rais wakiti Mugabe akiondolewa madarakani.
20190221_124904.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,320
2,000
MZEE WA QUOTATION ZA KIBABE


BAADHI NI HIZI:

1. Don't fight even over girlfriends. The country is full of beautiful women. If you cant get one, come to Mugabe for assistance.

2. It’s hard to bewitch African girls these days because each time you take a piece from her hair to the witch doctor, either a Brazilian innocent woman gets mad or a factory in China catches fire.

3.If your man is cheating on you don't argue with him my sister because you will not win. Save your self from High blood pressure, Just change all the names of the girls on his phone, do not delete the numbers. Mix them, replace Natasha with Lisa, Nikki with Grace so on and on, wait the moment he's gonna call or sms them one by one. Make your self a cup of coffie and relax, you'll thank me later.

4. Nobody walks faster than a man accompanying an ugly girl in the morning after a one night stand.
 

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,644
2,000
Kwa sasa anakula kwa masimango madaraka bana wakina jiwe soon yatawakuta
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,487
2,000
Happy Birthday kwake.. Pamoja na kuja kuiharibu Zimbabwe, lkn bado ana respect kwangu kutokana mchango wake.. Pia kwa misimamo yake pamoja na mingine kuwa ni mibaya..

Ajitahidi afike kwenye 100 hivi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom