Kenya airways KQ wana ndege 3 tu.

Black Angel

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
532
1,000
sasa si yale yale tu wana ndege 28 ila za shirika3 wanakula hasara,

tunazo7 zote za kwetu tunachoingiza hakifikii kinachotakiwa kwa service achana na mishahara na mengine.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,350
2,000

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,451
2,000
Uchumi wako ulishuka kuchangiwa na vita, usisahau hilo kijana wangu.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
7,350
2,000
Uchumi wako ulishuka kuchangiwa na vita, usisahau hilo kijana wangu.
Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,451
2,000
Haya wewe unayefikilisha...
Acha kufikirishwa, kabla ya vita tulikuwa tunavaa matairi ya gari na kula yanga, hatahivyo miaka 30+ bado tu kisingizio vita, unamaana tunalipa madeni ya vita!
Hebu funguka na data za uchumi wa nchi tatu hizi Kenya, Uganda na Tanzania kabla Community na baada ya Community.>• Usibwabwaje kwa wazo hasi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom