Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mwaselela iliyopo katika Kata ya Iwindi Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Alinani Mwakifuna (59) anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za kumbaka...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Msimamizi wa kiwanda cha madawa ya Kairuki, Dr. Muganyizi Kairuki akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya Waziri wa Afya, ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nashindwa kuvumilia kuona matangazo ya kuomba michango ya matibabu toka kwa watu wanaojiamini ni maarufu. Huu ni ujinga. Kila mtu anastahili kuishi lakini kila familia au taifa lina kiwango cha...
27 Reactions
122 Replies
14K Views
Katika ile hali inayoonekana ya ushindani katika usafiri wa anga kufuatia ujio wa dreamliner ya Atcl,kampuni ya ndege fastjet imeanza kuruhusu abiria kusafiri na begi lisilozidi uzito wa 23kg...
6 Reactions
93 Replies
13K Views
Nimewahi kuona mtu aliyepagawa na pepo kashika kisu anatishia kuchoma watu. Mwingine akikemea mapepo, mwenye mapepo alimkamada juujuu na kuanza kuzunguka naye. Kuna wengine wanatandikwa vibao vya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri y'a Muungano wa Tanzania (mstahafu) Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ombwe lako halizibiki ! Umenifunza yafuatayo. 1.Demokrasia 2.Kunyamaza 3.Busara 4.Upole 5.Hoja kwa hoja sio...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango amezitaka Taasisi zote za Serikali kutumia kikamilifu mfumo wa malipo wa Serikali wa kielektroniki (GePG), ili kutimiza azma ya Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
President Magufuli deploys army to purchase cashew nuts from Baada ya wafanya biashara kugoma kununua korosho kwa bei ya Tsh 3,300. Rais aliagiza jeshi linunue korosho zote kwa bei ya zaid ya...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu najua sio taulo zote zenye Hali kama hii ila nimekuwa nilijiuliza ni malighafi (raw materials) gani zilizotumika kuunda hizo diapers, Mimi nimeona vitu vinavyofanana na Silicon, Maswali...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Naomba Kuundwe Chama chao upesi na haraka sana. Sijui ni kwanini Tanzania nzima naiependa sana hii Mikoa ya Kagera, Singida, Iringa, Mbeya, Rukwa na Dodoma na kikubwa zaidi naipenda hii Mikoa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi utaratibu wa kupewa ving'ora vya Polisi ukoje? Maana juzi nimeona Msanii Lulu anaenda kwenye tuzo za uigizaji anasindikizwa na King'ora cha Polisi na pikipiki? What is this ??? Sent using...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nitaeleza kwa kifupi sana!! Nakumbuka nikiwa shule darasa la tano, dada yangu mkubwa alipoolewa wazazi wangu walipewa mahari ya ng'ombe 22, na mbuzi 5! Baba yangu alikuwa mwalimu mkuu wa shule...
22 Reactions
60 Replies
5K Views
Wakuu! Sina uhakika kama wazo langu hili ni jipya!-ila ninadhani kitu hiki kinaweza kuwepo tayari.Ningependa kujua hapa Dar es Salaam,au hata waliopo mikoani kama kuna Clubs za wasoma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa naomba msaada kwa wachungaji na masheikh,km ikitokea mharifu ameua tena makusudi,lakini Wakili anamtetea na anajua ameua makusudi.. Kiimani hukumu ya wakili ni nini siku ya qiyama? Sent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu Niende kwenye swali langu moja kwa moja je mtu yeyote unaweza kwenda Police na kuomba uende sehemu na kusindikizwa na king'ola? Na gharama zake ziko je? Maana jana nimeona Lulu...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Wana MMU kwa wanaotumia airtel kuna tatizo la sms unazotumiwa kuchelewa au kutofika kabisa ni kwangu peke yangu au hadi kwenu?
0 Reactions
5 Replies
44K Views
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Siasa Wanadanganya ili wapate kura wakati wanajua haya mambo hayawezekani kuna watu wapo madarakani wamesahau walichowaambia wananchi+ wanasiasa wa Jamaika lakini sio wa hapa kwetu kabisa sijawahi...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Polisi wa Congo zamani ilijulikana kama Belgium Congo Polisi wa Mali iliyokuwa koloni la Ufaransa Polisi wa Uganda ambayo ilikuwa under British guardiansship Polisi wa India hapa ndipo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…