Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee shule ya msingi kuna mambo.ukiyakumbuka unabaki kucheka,au kujiona mjinga wa kiana flani ivi.sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo.mdogo darasa,6 au 7?nikiwa darasa LA tano 1983...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Mwanafunzi hao wa shule ya msingi Diovuva wamelazimika kusoma kwa kupokezana Wapo wanaoingia shuleni hapo asubuhi na wengine wanaingia mchana hali ambayo si rafiki kwa ufundishaji Shule hiyo kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nani ana habari kamili za huyu kaka @mr_botion Jina lake kamili ni nani yuko jela ya wapi na tokea lini?? . . Mdau #2 Mange huyu dogo hajawekwa ndani kwa kosa hilo moja kwa moja. Huyo dogo...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Advocaat Maroo na Pastor wameendelea kumtishia mjane mama Juliana Kahangi. Asaini mikataba iliyondaliwa na Maroo Advocaat na pesa atakazo lipwa mjane huyo zipitie kwenye account ya PASTOR pamoja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzee wangu siku zote hunambia hakuna mwisho wa kujifunza. Na kujifunza hutoka kwa kila mtu kwa matendo yake mema au mabaya. "Roho Finyango" huu ni uchawi ambao waswahili wengi tunao. Kuwaombea...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa sababu zamani Hapakuwa na knowledge ya kutosha juu ya Hawa viumbe wasionekana yaani kina bacteria wanaosababisha magonjwa ilimbidi mtume awaambie watu kuwa chooni Kuna majini ili watu wawe na...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Katika mahojiano yake na clouds anasema kuwa bila Clouds media hakuna msanii yeyote angekuwa star hadi leo hii, anasema Clouds ndio baba lao na kama isingekuwepo hata hawa mastar wa leo...
51 Reactions
220 Replies
28K Views
Kauli anazotoa Musiba ni uchochezi wa wazi kabisa, sielewi kwa nini polisi hawana habari naye, labda mpaka awe mwanachama wa Chadema ndiyo atachukuliwa hatua. Mfano 1. Anapodai FBI ni shirika...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ipo fursa kubwa sana Arusha mjini ya uuzaji wa Vioo vya magari. Kuna hawa jamaa wapo pale chinjachinja maarufu kama Limpompo ndio wamedominate soko la vio vya magari kwa arusha mjini , hawa jamaa...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nimejiuliza ni utaratibu wa kawaida kwa maabusu kufanya usafi katika maeneo ya vituo vya polisi, hii nimeiona sana na katika hali ya kunishangaza nilishuhudia vijana wawili baada ya kupata dhamana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahitimu wa Vyuo Vikuu msiamini sana katika kuajiliwa either serikalini au mashirika binafsi. Kilimo ni kila kitu jamani. Unganeni hata mkiwa watatu au watano mkodi shamba sehemu nzuri za...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo majira ya saa 07:45 asubuhi ndege yetu pendwa ilikua tayari imeshashuka mita chache kufika chini ikijiandaa kutua wakati huo mimi nikiwa kwenye bus aina ya coaster linalotoka mjini kwenda...
16 Reactions
99 Replies
16K Views
Wakuuu mada inajieleza, tunaomba wale wooote waliochangia mpendwa wetu ruge kufariki watubu, mwaka mmoja na nusu nyuma tuliona baadhi Ya watu wakimwandama marehemu na kumdhalilisha na kupambana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Makonda amesema yeye na Ruge wana mahusiano mazuri na wamekuwa wakiwasiliana tangu Ruge alipolazwa India. Makonda amedai Ruge alishafika nyumbani kwake kumsalimia mtoto halikadhalika Makonda...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Nimemaliza maandalizi yangu nikiwa na siku kama nne kabla ya tarehe ya kuondoka arusha kwenda mwanza, naingia mtandaoni kufanya booking natafuta hii route siioni napiga simu naambiwa lazima neende...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
WALINITUMIA SMS HIZI:- 24 Feb 2019 SAA 2305 +255 745 995 827 alituma SMS hii: Tatu Mzuka (JACKPOT) Hongera Umeshinda TSh.6,000,000/=milioni Sita Katika Droo Ya Saa 11 . Tatu Mzuka Inabadilisha...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ile kiukweli kabisa toka moyoni naona ni vyema uchaguzi wa 2020 uhairishwe tu, maana hata ukimchagua au usipomchagua yeye ndie atakaekua Rais, hilo ni guaranteed, na hata hawa wabunge na madiwani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbeya. Hatimaye mwili wa Frank Kapange (22) leo Jumanne Februari 26,2019 umechukuliwa na familia yake katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya baada ya kukaa mochwari miezi nane na siku 22...
3 Reactions
15 Replies
8K Views
Kiwanda kikubwa Africa cha bidhaa za ngozi kujengwa Tanzania ambapo kutakua na zaidi ya viwanda 6 ndani yake. Ikumbukwe Tanzania ni ya pili Africa kwa wingi wa mifugo na ni moja ya wazasambazaji...
11 Reactions
25 Replies
5K Views
Utata mkubwa umejitokeza ni nani aliekuwa na haki ya kutangaza tamasha la Zinduka ,..yaani kampeni ya kitaifa ya uzinduzi wa kukataa malaria. Hali hiyo imejitokeza leo baada ya msanii Mr II...
1 Reactions
175 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…