Lipi likikupa wakati mgumu ukiwa shule ya msingi?

mchonjoya

Member
Aug 17, 2016
61
125
Aisee shule ya msingi kuna mambo.ukiyakumbuka unabaki kucheka,au kujiona mjinga wa kiana flani ivi.sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo.mdogo darasa,6 au 7?nikiwa darasa LA tano 1983 nakumbuka mwl alinichangua ktk kikosi cha kuimba ngonjera,ili kuwaaga walimu waliokua wanataka kuhama.
Aisee cku ilikua ngumu sana kwangu.niliomba ardhi ipasuke niingie.
Sababu nilikua naona aibu,kuimba kwenyewe cjui,naazaje.pia sijawai tu kuimba mbele ya araikhi.nawezaje kukremu ubeti wangu wakati hada idear ya kuimba cjui?nilipata wakati mgumu SNA.KIPI KWAKKO UTOSAHAU UKIWA SHULE YA MSINGI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,159
2,000
Sikuwa napenda kupigana, kuna manunda wakawa kila jioni tukitoka wanachonganisha tupigane! Nilikuwa sipendi ila kukimbia nisipigane nitachekwa!

Ukipigana ushinde, unatafutiwa mechi na mwingine ukiwa loser unachekwa!! Kilikuwa kipindi kigumu sana kwangu ila kilinijega kujiamini sana, nilikuja kuwa mtupa ngumi mmoja hatari sana!!
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,125
2,000
Kwenda shule na kidumu cha maji na mfagio mkononi,huku ukiwa na ela ya kununua ubuyu ili mwalimu asikuchape unaposhindwa kujibu somo lake.
 
verifaidi yuza

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
595
1,000
Aisee shule ya msingi kuna mambo.ukiyakumbuka unabaki kucheka,au kujiona mjinga wa kiana flani ivi.sometimes unajipa moyo aaah nilikua mdogo.mdogo darasa,6 au 7?nikiwa darasa LA tano 1983 nakumbuka mwl alinichangua ktk kikosi cha kuimba ngonjera,ili kuwaaga walimu waliokua wanataka kuhama.
Aisee cku ilikua ngumu sana kwangu.niliomba ardhi ipasuke niingie.
Sababu nilikua naona aibu,kuimba kwenyewe cjui,naazaje.pia sijawai tu kuimba mbele ya araikhi.nawezaje kukremu ubeti wangu wakati hada idear ya kuimba cjui?nilipata wakati mgumu SNA.KIPI KWAKKO UTOSAHAU UKIWA SHULE YA MSINGI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah 🤕
 
verifaidi yuza

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
595
1,000
Kugombania dawati asee.. mwenye nguvu ndio anakaa!! Marafiki zangu wakagundua udhaifu wangu wa kutekenyeka so nilikua niki struggle ili nipate nafasi wananitekenya hadi naamua kuchukua kipande cha tofali naenda kukaa chini

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Pole mkuu
Vip bado unatekenyeka 🤔🤕
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom