Naombeni points..lol

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,608
2,000
hello JF,

I am not good in writing nadhani mshaninote..lo

Nimeamua Becky nijiunge shule ya Memkwa jioni,nijipige msasa… :p:cool:

Course ni Community Development...

Hii course haina vimbwenge/entrance ni wewe utakavyo sell your self kwenye personal statement,lol

Sasa nimeanza kuandika..

ila nimeamua kuwashirikisha sio tu nipate michango yenu niendelee kuandika bali I am hoping mtafanya brain storming,

Mje na vitu vitakavyokua positive hata wale ambao wako juu yetu vitawafanya wavichukulie mkazo...

Hapa chini ndio nimeanza;

Tanzania is one of the countries that have largest young population. 40% percent of Tanzania youth population are below 15 years of age. Fewer Tanzanian Adolescents (52%) however, are enrolled in lower secondary education and in which few complete and attain GCSE qualification. There is almost no Vocational training for these young adults who might have been benefited if this alternative was available.

Past research has also identified that girls are vulnerable group with 76% {of total girls who drop out},drop school because of pregnancy and early marriage and Tanzania government has made a policy that these girls are not allowed to get back into education.
Main purpose is to explore how this large group of young people can be educated, given knowledge and right skills so that they can be employed or self-employed. This will improve the economy of each person and economy of the nation as a whole......WAKUU NAENDELEA VIPI???
 
Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,402
2,000
hello JF,

I am not good in writing nadhani mshaninote..lo

Nimeamua Becky nijiunge shule ya Memkwa jioni,nijipige msasa… :p:cool:

Course ni Community Development...

Hii course haina vimbwenge/entrance ni wewe utakavyo sell your self kwenye personal statement,lol

Sasa nimeanza kuandika..

ila nimeamua kuwashirikisha sio tu nipate michango yenu niendelee kuandika bali I am hoping mtafanya brain storming,

Mje na vitu vitakavyokua positive hata wale ambao wako juu yetu vitawafanya wavichukulie mkazo...

Hapa chini ndio nimeanza;

Tanzania is one of the countries that have largest young population. 40% percent of Tanzania youth population are below 15 years of age. Fewer Tanzanian Adolescents (52%) however, are enrolled in lower secondary education and in which few complete and attain GCSE qualification. There is almost no Vocational training for these young adults who might have been benefited if this alternative was available.

Past research has also identified that girls are vulnerable group with 76% girls drop out of school because of pregnancy and early marriage and Tanzania government has made a policy that these girls are not allowed to get back into education.
Main purpose is to explore how this large group of young people can be educated, given knowledge and right skills so that they can be employed or self-employed. This will improve the economy of each person and economy of the nation as a whole......WAKUU NAENDELEA VIPI???
For all this to happen for our girls and boys to get better education is to remove the mole in magogoni
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,608
2,000
You forgot the heading which could help those who want to continue,to have the base.

Asante mkuu, I want to apply for scholarship. and the area that I want to focus on is Unemployment among young adults,how we can tackle this through education. Currently if you finish and fail primary education and parents can’t afford to take you to private school , then you are doomed,it should not be like this,,,I believe mtu aliyemaliza primary can do a lot of things if trained, bado hatujawa na platform nzuri to exploit their potential,,,wakiwa empowered/helped to unlock their potential I can see moving forward as a nation
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,548

Kwa hiyo heading yako ni " How to help young adults to tackle unemployment through leaning more skills?????" Au wewe mawazo yako ni yapi?
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,608
2,000
Kwa hiyo heading yako ni " How to help young adults to tackle unemployment through leaning more skills?????" Au wewe mawazo yako ni yapi?

Uko sahihi mkuu...ila huu mzigo ni wa wote, sio viijana peke yao, serikali pia iwe involved sababu wao ndio wanaweka policies....Mawazo yangu yako kiuchumi zaidi,lol ‘’ how tackling unemployment among youth through education can lead to Tanzania’s economic growth ‘’😊😊😊
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,548
2,000
Uko sahihi mkuu...ila huu mzigo ni wa wote, sio viijana peke yao, serikali pia iwe involved sababu wao ndio wanaweka policies....Mawazo yangu yako kiuchumi zaidi,lol ‘’ how tackling unemployment among youth through education can lead to Tanzania’s economic growth ‘’😊😊😊
Rebeca Mawazo yako mazuri ila tulishindwa kabla hatujaanza.

Kosa lilikuwa shule za Kata. Imagine kabla hazijaanza, bado watoto walikuwa wanarundikwa darasa moja watoto 100, mwalimu mmoja tu. Wakaongeza secondary za Kayumba hapo sasa taabu ndo ikazidi.

We used to have Domestic science schools after STD VII, they killed them. Technical schools turned in to normal Sec. Schools. What do you expect?

First we have to correct the mess we are in before solving the others.
 
niah hilo la shule za kata limekaa kisiasa Zaidi mkuu,

watu walitaka tu wajulikane walifanya hiki au kile kuhusu elimu yetu

pili sijui kwa nini wali invest kwenye kununua mandege...

mpaka ma profit ya biashara ya ndege yaje ni 10 years down..

Je the same amount of money,ingekua invested kwenye elimu..

Miaka kumi ,tungekua wapi??????

I agree we have to correct the mess Niah..

But silioni likifanyika kwenye serikali hii ya sasa...

iko kwenye usingizi mzito

I guess moja ya vitu vitakavyo solve hii kitu, ni kuwa na well wishers wakajiunga na ku act kuliokoa taifa hili….lol
 
Kilele9

JF-Expert Member
Jun 1, 2017
1,165
2,000
Uko sahihi mkuu...ila huu mzigo ni wa wote, sio viijana peke yao, serikali pia iwe involved sababu wao ndio wanaweka policies....Mawazo yangu yako kiuchumi zaidi,lol ‘’ how tackling unemployment among youth through education can lead to Tanzania’s economic growth ‘’😊😊😊

..Mawazo yangu yako kiuchumi zaidi,lol ‘’ how tackling unemployment among youth through extra curiculum education can lead to Tanzania’s economic growth ‘’
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,548
2,000
niah hilo la shule za kata limekaa kisiasa Zaidi mkuu,

watu walitaka tu wajulikane walifanya hiki au kile kuhusu elimu yetu

pili sijui kwa nini wali invest kwenye kununua mandege...

mpaka ma profit ya biashara ya ndege yaje ni 10 years down..

Je the same amount of money,ingekua invested kwenye elimu..

Miaka kumi ,tungekua wapi??????

I agree we have to correct the mess Niah..

But silioni likifanyika kwenye serikali hii ya sasa...

iko kwenye usingizi mzito

I guess moja ya vitu vitakavyo solve hii kitu, ni kuwa na well wishers wakajiunga na ku act kuliokoa taifa hili….lol

Most of well wishers wakijitokeza, wanaulizwa kwanza misimamo yao kisiasa. Wapo ambao wameanza vijijini baadhi wanajihamasisha kwa kutumia makanisa. Itatuchukua muda kufikia tulipoachia 1978 na Eighties wakati elimu ilikuwa elimu siyo bora elimu.
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,548
2,000
Hio ilikuwaje mkuu?, hio sikuikuta nimezaliwa 80’s lol
Tukiwa Primary kuanzia Lower to upper, tulikuwa na kazi za mikono. Tulifundishwa kushona, kufuma, kulima kwa kisasa na kuchagua mbegu bora. Sisi tulikuwa na cookery classes kuanzia std Six.

Shule za boys zilikuwa na useremala pamoja na kazi kama kujifunza kutengeneza matofali ya kuchoma na shughuli nyingi kulingana na sehemu.

Secondary tulisoma hayo yote hapo juu ila kama watu hawakufaulu kwenda Secondary, kulikuwa na Domestic Science schools ambazo zilikuwa muendelezo wa hayo yote. Matokeo yake waliosoma hizo shule waliweza kufanya mitihani ya kwenda Nursing na Teachers Colleges Grade C.
Sasa hivi mtoto wa kike hawezi hata kushona nguo yake iliyopasuka, hawezi kufuma kitambaa, kusuka mkeka. Mimi niliwekwa darasa la uhunzi wa vyungu. I can still do it nikipata udongo wa mfinyanzi.
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,197

Aiseee...sijui tunakwama wapi kama taifa kurudisha mambo haya mazuri..
 
Mkuu inaelekea mli enjoy sana...

Naona tatizo linguine ni kila kiongozi akija kwenye nafasi za elimu ,anaweka sera zake tofauti na aliyetangulia...

hakuna consistency....kama mlisoma hivi,yeye anakuja anapangua tu

Na pia elimu ilitakiwe itu encourage tuwe independent learners na sio watnafunzi wanao cram tu

Nimeona mahalli darasani mwanafunzi anapewa mtihani ambao ni real life situation katika mazingira yake aelezee jinsi atakavyoli solve hilo tatizo...in this way mtu anatoka na knowledge/skills za kutatua changamoto zinazonguka kwenye mazingira yake….
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom