Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 5,746
- 21,779
Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa.
Kwa muda mrefu nilikuwa naisubiria muvi ya Aquaman iwekwe YIFY. Kama zali kweli leo asubuhi na mapema kabisa ikawekwa. Usingizi ukaniisha palepale, nikawasha laptop yangu chap chap na kufanya teathering kwa njia ya simu.
Mimi ni mpenz wa kuangalia muvi ilodownlodiwa kwa quality nzuri, so nikachagua yenye 1080WEBRip ambayo ina GB 2.3. Then nikajiunga DAR SUPER UNI za GB 1 tatu kwa shilingi elfu moja each. Nikawa na GB3 zangu saafi wakat muvi inahitaji GB 2.3.
Sasa kilichotokea ni kituko, hizo GB 3 zimeisha wakat muvi bado ina MB 600 tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Na sikuwa nasurf chochote kile na wala laptop haikuwa background program zozote zinakula data. Sijaweka automatic update yyte ile.
Aisee nimeudhika sana ikanibidi nitoke nikanunue vocha ya TTCL tuu. Nimejiunga boom pack yangu, nikashusha muvi kwa raha zangu na data zimebaki kibaaaao. Shame on you mitandao mingine kwa mnachotufanyia siku hizi. Maisha ya sasa yanahitaji data zaidi katika mawasiliano kuliko hizo dakika na sms. Ni bora mkatoa hizo madakika mengi mnayoweka ila muongeze ubora wa vifurushi vya data.