Clouds Media: The house that Ruge Mutahaba built

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
5,002
9,789
Sifa kede wa kede zimeibuka za kumsifu huyu bwana baada ya kifo chake, je nikwel sifa hizi anastahiri?
Mi naamini na kukubali kuwa ni kwel anastahiri maana waswahili wanasema "kibaya chajitembeza kizuri chajiuza" nikiwa na maana kwamba kila chema utakachokifanya kwa jamii kama nikizuri na chenye manufaa lazima kitaonekana tu in short-run or long-run.
Tumeshudia shuada za watu hai kuwa jamaa walikua master mind katika ujenzi wa nyumba aliojenga akiwa na Mzee Baba Joseph kusaga ( clouds Media ) na pia ujenzi wa tanzania kwa ujumla kupitia kuhamasisha vijana katika kujitabua na usubutu wakufanya kila pia kuibui talents mbalimbali pia amekua mtu muhimu katika uhandaaji matamasha makubwa SAUTI ZA BUSARA na ZIFF
mimi 7 mchana kama kijana nitakua muongo kama nikikataa kuwa sijanufaika na moja ya projects za bwana huyu mtukufu. I know mtukufu ni pioneer wa FURSA.
FURSA ya kwanza kabisa in history iliyofanya niliudhuria. kiukwel nilinufaika sana na ninaamini mamia ya vijana walinufaika na series za event izo ambaazo zilizokua zikifanyika mikoa ya Tanzania bala na visiwani.
 
Back
Top Bottom