Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wajitafakari baada ya kutoa ujumbe kuonesha kusikitishwa kwa kufungiwa kwa gazeti la 'The Citizen'

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
870
1,000
*KWA HILI MABALOZI WAJITAFAKARI*.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za *Uingireza, Denmark, Ujerumani, Uholanzi, Italy, Sweden, Ubelgiji na Norway* nchini *Tanzania* wamejikuta wakiumbuka kwa kutuma ujumbe unafanana kwa maneno na sentensi wakihoji kufungiwa kwa gazeti la kiingereza la *The Citizen*.

Inawezekana walifanya hivi kwa makusudi na inawezekana kabisa kuwa kuna mpango mahususi nyuma yake, lakini hii haiondoi ukweli kuwa kitendo hicho kimewaumbua na kuwapaka taswira yenye mashaka kuwa hawakuwa na dhamira njema.

Gazeti hilo limefungiwa na Idara ya Habari, Maelezo kwa siku saba kuanzia tarehe 28.02.2019 baada ya *kutenda kosa la kuchapisha taarifa zisizo rasmi za kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa thamani ya dola ya Marekani*.

Kwa wasiojua, *utaratibu wa kidiplomasia unawataka Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao wanapokuwa na jambo ambalo wanaliona lina ukakasi wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi husika ambayo ndio mlezi na msimamizi wao*.

Ilitarajiwa kuwa kama walikwazwa na gazeti la *The Citizen* kufungiwa, wangeuliza wizarani kumetokea nini na bila shaka wangepewa majibu ya Serikali.

Na hili ni jambo la kawaida kabisa, hata Mabalozi wa Tanzania waliopo katika nchi zao wanafanya hivyohivyo. Na lengo kuu ni kujiepusha kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika.

Aidha, kupata ufafanuzi wa Serikali pia kuna epusha Mabalozi kujikuta wanatoa kauli, kwa jambo ambalo linafanywa kwa mujibu wa sheria. *Tanzania ni nchi huru, haipaswi kuingiliwa katika uendeshaji, usimamizi wa sheria na upangaji wa mambo yake*.

Kwa jambo hili Mabalozi wamenaswa katika mtego wa kukiuka msingi huo, wametanguliza mbele maslahi yao na mazoea yao ya kusoma gazeti la *The Citizen* kila asubuhi. Wamejikuta wakihoji jambo ambalo ni utekelezaji wa kawaida wa majukumu ya Serikali.

Na kana kwamba hiyo haitoshi, imedhihirisha wazi kuwa Mabalozi hao wa nchi 8 waliketi pamoja na kujadiliana ujumbe watakaoandika na inaonekana wazi kuwa waliandika na kusambaziana ili wauweke kwenye akaunti zao za *Twitter*.

Ujumbe unaofanana ni huu;

*Today haf to change our morning routine: usually we start the day with a fresh copy of the #citizen. Unfortunately it has been banned in #Tanzania for a week. Is this sanction proportionate to the offence purportedly commited?*
*#PressFreedom #TheCitizenBanned #DefendMediaFreedom*

Inawezekana katika mpango huu Mabalozi walishirikiana na gazeti la *The Citizen*, hii inaleta mashaka kuwa kumbe gazeti la *The Citizen* hutumika na Mabalozi wa baadhi ya nchi kutekeleza matakwa yao kwa sababu yamekuwepo mengine mengi ambayo gazeti hili huchapisha kwa kuonesha dhahiri kuwa linalinda maslahi ya nchi fulani fulani, na kutojali maslahi ya Tanzania.

Vyote kwa vyote, naipongeza Serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya gazeti la *The Citizen*, naamini Serikali itatupia jicho pia kwa gazeti la *Mwananchi, Nipashe na Mtanzania* ambayo yameonesha dhihiri kuwa na mwelekeo wenye kuidhohofisha Serikali ya Tanzania ambayo kwa sasa sio siri imeamua kusimamia maslahi ya Tanzania ambayo kwa muda mrefu yamechezewa.

Nampongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kufanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo amemuondoa Balozi Mahiga na kumweka Prof. Kabudi.

Nimefurahishwa sana na kauli ya kwanza ya Prof. Kabudi ambapo ameweka msimamo wake mapema wa kutotaka kuona nchi inabagazwa na kuchafuliwa. Na yeye kama mwanadiplomasia namba mbili na msimamizi wa sura ya nchi kimataifa ana wajibu wa kutoruhusu nchi kuchezewa.

Ni bahati mbaya sana Mzee wangu Balozi Mahiga hakuonesha msimamo katika jambo hili pamoja na sifa yake kubwa katika diplomasia ya kimataifa. Ndio maana nchi ilikuwa inachezewa sharubu na Mabalozi wakawa wanajisahau na kuvunja taratibu bila kujali athari wanazosababisha kwa Tanzania kimataifa.

Kwa wasiojua kitendo walichokifanya Mabalozi hawa 8 cha kuandika ujumbe unaofanana na kuuweka hadharani kupitia akaunti zao za *Twitter* ilitosha kabisa kwa Waziri kuwabana hadharani ili waombe radhi na waahidi kutorudia. Katika nchi nyingine ingeweza hata kufikia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje kuibua hoja kwenye Serikali za nchi zao ili wabanwe na waonywe. Mahali pengine ingeweza hata kufikia hatua ya kuzitaka nchi hizo ziwarudishe Mabalozi wao.

Gazeti la *The Citizen* lilifanya makosa ya kuchapisha habari zenye takwimu ambazo sio rasmi, zilizoonesha kuwa thamani ya shilingi imeanguka sana. Lilichapisha habari hiyo ikiwa na dosari zifuatazo;

*Kwanza halikuchukua wala halikushughulika kuonesha viwango vya kubadilisha fedha vilivyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa siku hiyo. Na hapa ieleweke vizuri kuwa kuna wakati viwango vya kubadilisha fedha hupandishwa kwa njama za wafanyabiashara bila sababu za msingi ama kuzidisha viwango ilimradi wapate faida zaidi*.

*Pili, gazeti hili halikuonesha kuwa sio shilingi pekee yake iliyoanguka kwa wakati huo, zipo fedha nyingine ambazo pia zilianguka zaidi ya shilingi. Na yapo maelezo kuwa katika siku za Karibuni Dola ya Marekani imeimarika sana. Lakini The Citizen sio tu halikuchukua takwimu rasmi bali lilichochea zaidi kwa kuandika viwango vya juu zaidi hali iliyowaogofya wageni na wananchi*.

Madhara ya gazeti hili la *The Citizen* ni makubwa kwa uchumi kwa sababu unapoonesha fedha ya nchi imeanguka ujumbe unaoupeleka kwa jumuiya ya Kimataifa ya wawekezaji ni kuwa Tanzania sio mahali salama pa uwekezaji.

Pili kwa kufanya hivyo ni kutaka kuonesha kuwa hali ya Tanzania ni mbaya kiuchumi.

Mkurugenzi wa Maelezo alieleza vizuri kuwa adhabu iliyotolewa kwa gazeti la *The Citizen* imefuata utaratibu wa sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016 ambayo inaeleza kuwa adhabu ya kufungiwa itafikiwa baada ya chombo husika kuonywa mara tatu. *The Citizen* ilionywa mara tatu. Lilifikia hatua ya kufungiwa.

Mwisho naomba kuwasihi waandishi wa habari wa Tanzania waache kutumika, natambua kuwa wakati mwingine wanashinikizwa na wamiliki wenye nia mbaya dhidi ya Serikali na Tanzania. Hao dawa yao ni mkono wa sheria.

Watanzania tuendelee kupigania nchi yetu tuunge mkono juhudi za Rais na Serikali, uzuri ni kuwa Rais alishatuambia kuwa ameamua kupigania maslahi ya Tanzania. Hii ni vita ya uchumi na katika vita hii watu waliokuwa wakinufaika hawatapenda na watatupiga vita kila upande.

Na sasa tunaona wapo wanaojaribu kuwatumia wanasiasa, wapo wanaotumia vyombo vya habari, wapo wanaotumia kumuiya ya kimataifa na wapo wanaojaribu kuchochea chuki kati ya Serikali na wananchi. Muhimu ni kusimama kidete.

Nawatakia Kwaresma Njema.

Amb. Joseph G.P
Balozi Mstaafu
Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,287
2,000
Kwa hiyo walikaa na kutuma ujumbe mmoja au kila mmoja alituma ujumbe ule ule kwa muda wake? Kama option ya pili ni sahihi basi ungeattach na hizo jumbe toka balozi tofauti kama ulivyozitaja (chanzo) na pia sioni ninkwa nini uwatishe wakati wametoa maoni yao kuhusu kufungiwa kwa gazeti hilo, au ndo ule msemo "kilichofungwa mbinguni na duniani kimefungwa" haihitajiki mtu kuhoji????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,481

Sina cha kuongeza ila ni kitambo sasa nimekuwa nikihisi kuwa kuna mambo ambayo tunayafanya hivi sasa ambayo yanawakwaza wakubwa hao na wamekuwa wakitafuta visingizio kwa mfano hali ya usalama nchini, haki za mashoga na kadhalika.Inawezekana sana kuwa hii mirija tunayoiziba sasa ya multinational corps inawakwaza sana na wangefurahi sana kuwe na social turmoil waweze kufanya kama inavyotokea huko venezuela[Mafuta yamewaponza] kwani ingekuwa ni nchi ambayo haina rich natural resources wakubwa wasingehangaika nayo.
 
stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
876

Wale huwezi kuwafanya chochote, utaishia tu kubwabwaja, wale ndio wenye dunia wakisema chochote utatiii tu, hivyo usihangaike kujiandikia hapa wewe pambana tu kuzuia wa humu humu wale huwezi kuwazuia na kuwachagulia cha kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,041

Hizi ni nchi zenye intelligencia ya hari ya juu sana,hawawezi kufanya blunder kama hii,
Hizi ni propaganda zilizotayarishwa na waliofungia hilo gazeti,
Wazungu hawafanyi upuuzi kama huu,
Wameweza kumshikisha adabu dogo wa North Korea,Iran,China,washindwe Ku deal na nchi ya"ulimwengu wa tatu"acha utani balozi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
30,915
2,000
Amb. Joseph G.P
Balozi Mstaafu
Dar es Salaam.

MTU MWENYEWE BALOZI MSTAAFU WA MWAKA 47, KIPINDI HAKUNA MITANDAO YA KIJAMII,
MZEE BABA DUNIA IMEBADILIKA SIO ILE YA ULIYO IZOEA MKUU/
Nchi haziendeshwi kwa mitandao ya kijamii.
Nini kinakutofautisha wewe na wa 47?
 
msomi uchwara

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
2,700
2,000
Yaani saiz balozi akisikia lissu anakuja nchini kwako either kwenye media tour au zile ziara zake lazima mwili upande joto kidogo
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,318
2,000
Mbona umeandika kitabu kizima. Unataka kutuaminisha nini kwa nguvu zote hizo?
*KWA HILI MABALOZI WAJITAFAKARI*.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za *Uingireza, Denmark, Ujerumani, Uholanzi, Italy, Sweden, Ubelgiji na Norway* nchini *Tanzania* wamejikuta wakiumbuka kwa kutuma ujumbe unafanana kwa maneno na sentensi wakihoji kufungiwa kwa gazeti la kiingereza la *The Citizen*.

Inawezekana walifanya hivi kwa makusudi na inawezekana kabisa kuwa kuna mpango mahususi nyuma yake, lakini hii haiondoi ukweli kuwa kitendo hicho kimewaumbua na kuwapaka taswira yenye mashaka kuwa hawakuwa na dhamira njema.

Gazeti hilo limefungiwa na Idara ya Habari, Maelezo kwa siku saba kuanzia tarehe 28.02.2019 baada ya *kutenda kosa la kuchapisha taarifa zisizo rasmi za kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa thamani ya dola ya Marekani*.

Kwa wasiojua, *utaratibu wa kidiplomasia unawataka Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao wanapokuwa na jambo ambalo wanaliona lina ukakasi wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi husika ambayo ndio mlezi na msimamizi wao*.

Ilitarajiwa kuwa kama walikwazwa na gazeti la *The Citizen* kufungiwa, wangeuliza wizarani kumetokea nini na bila shaka wangepewa majibu ya Serikali.

Na hili ni jambo la kawaida kabisa, hata Mabalozi wa Tanzania waliopo katika nchi zao wanafanya hivyohivyo. Na lengo kuu ni kujiepusha kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika.

Aidha, kupata ufafanuzi wa Serikali pia kuna epusha Mabalozi kujikuta wanatoa kauli, kwa jambo ambalo linafanywa kwa mujibu wa sheria. *Tanzania ni nchi huru, haipaswi kuingiliwa katika uendeshaji, usimamizi wa sheria na upangaji wa mambo yake*.

Kwa jambo hili Mabalozi wamenaswa katika mtego wa kukiuka msingi huo, wametanguliza mbele maslahi yao na mazoea yao ya kusoma gazeti la *The Citizen* kila asubuhi. Wamejikuta wakihoji jambo ambalo ni utekelezaji wa kawaida wa majukumu ya Serikali.

Na kana kwamba hiyo haitoshi, imedhihirisha wazi kuwa Mabalozi hao wa nchi 8 waliketi pamoja na kujadiliana ujumbe watakaoandika na inaonekana wazi kuwa waliandika na kusambaziana ili wauweke kwenye akaunti zao za *Twitter*.

Ujumbe unaofanana ni huu;

*Today haf to change our morning routine: usually we start the day with a fresh copy of the #citizen. Unfortunately it has been banned in #Tanzania for a week. Is this sanction proportionate to the offence purportedly commited?*
*#PressFreedom #TheCitizenBanned #DefendMediaFreedom*

Inawezekana katika mpango huu Mabalozi walishirikiana na gazeti la *The Citizen*, hii inaleta mashaka kuwa kumbe gazeti la *The Citizen* hutumika na Mabalozi wa baadhi ya nchi kutekeleza matakwa yao kwa sababu yamekuwepo mengine mengi ambayo gazeti hili huchapisha kwa kuonesha dhahiri kuwa linalinda maslahi ya nchi fulani fulani, na kutojali maslahi ya Tanzania.

Vyote kwa vyote, naipongeza Serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya gazeti la *The Citizen*, naamini Serikali itatupia jicho pia kwa gazeti la *Mwananchi, Nipashe na Mtanzania* ambayo yameonesha dhihiri kuwa na mwelekeo wenye kuidhohofisha Serikali ya Tanzania ambayo kwa sasa sio siri imeamua kusimamia maslahi ya Tanzania ambayo kwa muda mrefu yamechezewa.

Nampongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kufanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo amemuondoa Balozi Mahiga na kumweka Prof. Kabudi.

Nimefurahishwa sana na kauli ya kwanza ya Prof. Kabudi ambapo ameweka msimamo wake mapema wa kutotaka kuona nchi inabagazwa na kuchafuliwa. Na yeye kama mwanadiplomasia namba mbili na msimamizi wa sura ya nchi kimataifa ana wajibu wa kutoruhusu nchi kuchezewa.

Ni bahati mbaya sana Mzee wangu Balozi Mahiga hakuonesha msimamo katika jambo hili pamoja na sifa yake kubwa katika diplomasia ya kimataifa. Ndio maana nchi ilikuwa inachezewa sharubu na Mabalozi wakawa wanajisahau na kuvunja taratibu bila kujali athari wanazosababisha kwa Tanzania kimataifa.

Kwa wasiojua kitendo walichokifanya Mabalozi hawa 8 cha kuandika ujumbe unaofanana na kuuweka hadharani kupitia akaunti zao za *Twitter* ilitosha kabisa kwa Waziri kuwabana hadharani ili waombe radhi na waahidi kutorudia. Katika nchi nyingine ingeweza hata kufikia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje kuibua hoja kwenye Serikali za nchi zao ili wabanwe na waonywe. Mahali pengine ingeweza hata kufikia hatua ya kuzitaka nchi hizo ziwarudishe Mabalozi wao.

Gazeti la *The Citizen* lilifanya makosa ya kuchapisha habari zenye takwimu ambazo sio rasmi, zilizoonesha kuwa thamani ya shilingi imeanguka sana. Lilichapisha habari hiyo ikiwa na dosari zifuatazo;

*Kwanza halikuchukua wala halikushughulika kuonesha viwango vya kubadilisha fedha vilivyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa siku hiyo. Na hapa ieleweke vizuri kuwa kuna wakati viwango vya kubadilisha fedha hupandishwa kwa njama za wafanyabiashara bila sababu za msingi ama kuzidisha viwango ilimradi wapate faida zaidi*.

*Pili, gazeti hili halikuonesha kuwa sio shilingi pekee yake iliyoanguka kwa wakati huo, zipo fedha nyingine ambazo pia zilianguka zaidi ya shilingi. Na yapo maelezo kuwa katika siku za Karibuni Dola ya Marekani imeimarika sana. Lakini The Citizen sio tu halikuchukua takwimu rasmi bali lilichochea zaidi kwa kuandika viwango vya juu zaidi hali iliyowaogofya wageni na wananchi*.

Madhara ya gazeti hili la *The Citizen* ni makubwa kwa uchumi kwa sababu unapoonesha fedha ya nchi imeanguka ujumbe unaoupeleka kwa jumuiya ya Kimataifa ya wawekezaji ni kuwa Tanzania sio mahali salama pa uwekezaji.

Pili kwa kufanya hivyo ni kutaka kuonesha kuwa hali ya Tanzania ni mbaya kiuchumi.

Mkurugenzi wa Maelezo alieleza vizuri kuwa adhabu iliyotolewa kwa gazeti la *The Citizen* imefuata utaratibu wa sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016 ambayo inaeleza kuwa adhabu ya kufungiwa itafikiwa baada ya chombo husika kuonywa mara tatu. *The Citizen* ilionywa mara tatu. Lilifikia hatua ya kufungiwa.

Mwisho naomba kuwasihi waandishi wa habari wa Tanzania waache kutumika, natambua kuwa wakati mwingine wanashinikizwa na wamiliki wenye nia mbaya dhidi ya Serikali na Tanzania. Hao dawa yao ni mkono wa sheria.

Watanzania tuendelee kupigania nchi yetu tuunge mkono juhudi za Rais na Serikali, uzuri ni kuwa Rais alishatuambia kuwa ameamua kupigania maslahi ya Tanzania. Hii ni vita ya uchumi na katika vita hii watu waliokuwa wakinufaika hawatapenda na watatupiga vita kila upande.

Na sasa tunaona wapo wanaojaribu kuwatumia wanasiasa, wapo wanaotumia vyombo vya habari, wapo wanaotumia kumuiya ya kimataifa na wapo wanaojaribu kuchochea chuki kati ya Serikali na wananchi. Muhimu ni kusimama kidete.

Nawatakia Kwaresma Njema.

Amb. Joseph G.P
Balozi Mstaafu
Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gavana

JF-Expert Member
Jul 19, 2008
27,298
2,000
Sina cha kuongeza ila ni kitambo sasa nimekuwa nikihisi kuwa kuna mambo ambayo tunayafanya hivi sasa ambayo yanawakwaza wakubwa hao na wamekuwa wakitafuta visingizio kwa mfano hali ya usalama nchini, haki za mashoga na kadhalika.Inawezekana sana kuwa hii mirija tunayoiziba sasa ya multinational corps inawakwaza sana na wangefurahi sana kuwe na social turmoil waweze kufanya kama inavyotokea huko venezuela[Mafuta yamewaponza] kwani ingekuwa ni nchi ambayo haina rich natural resources wakubwa wasingehangaika nayo.
Kama Tanganyika inavyohangaika na Zanzibar AU vipi ??
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,481
2,000
Amb. Joseph G.P
Balozi Mstaafu
Dar es Salaam.

MTU MWENYEWE BALOZI MSTAAFU WA MWAKA 47, KIPINDI HAKUNA dYA KIJAMII,
MZEE BABA DUNIA IMEBADILIKA SIO ILE YA ULIYO IZOEA MKUU/
Kama hufahamu diplomatic protocol zimebaki vile vile na sivyo kama unavyofikiria. Mfano mzuri ni wakati Urusi/China wanapokuwa na diplomatic issues wanazihandle kwa kufuata protocol hizo.
 
Charles Dotter

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,203
2,000
Kama hufahamu diplomatic protocol zimebaki vile vile na sivyo kama unavyofikiria. Mfano mzuri ni wakati Urusi/China wanapokuwa na diplomatic issues wanazihandle kwa kufuata protocol hizo.
NDO MAANA UNAJIITA Abunwasi
HILI LILOTOKEA TANZANIA NI DIPLOMATIC ISUE AU, PATHETIC
MABALOZI WA ME TWEET KAMA ANA VYO TWEET TRUMP NA SIO UJUMBE WA KI DIPLOMASIA, KAA UELEWE JPM AKITWEET ANAFANYA HIVYO KAMA JPM GET IT BRO
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,481
2,000
NDO MAANA UNAJIITA Abunwasi
HILI LILOTOKEA TANZANIA NI DIPLOMATIC ISUE AU, PATHETIC
MABALOZI WA ME TWEET KAMA ANA VYO TWEET TRUMP NA SIO UJUMBE WA KI DIPLOMASIA, KAA UELEWE JPM AKITWEET ANAFANYA HIVYO KAMA JPM GET IT BRO
Mimi ni Abunwasi wewe jee? Hivi kama Trump anavyo tweet mambo ya kidiplomasia unadhani ni sawasawa? Hivi unahabari kuwa huyo Trump unayemsema ambaye ni very undiplomatic president amafanya europe igeukie eurasia? Urusi na China zitengeneze bloc?
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,161
2,000
*KWA HILI MABALOZI WAJITAFAKARI*.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za *Uingireza, Denmark, Ujerumani, Uholanzi, Italy, Sweden, Ubelgiji na Norway* nchini *Tanzania* wamejikuta wakiumbuka kwa kutuma ujumbe unafanana kwa maneno na sentensi wakihoji kufungiwa kwa gazeti la kiingereza la *The Citizen*.

Inawezekana walifanya hivi kwa makusudi na inawezekana kabisa kuwa kuna mpango mahususi nyuma yake, lakini hii haiondoi ukweli kuwa kitendo hicho kimewaumbua na kuwapaka taswira yenye mashaka kuwa hawakuwa na dhamira njema.

Gazeti hilo limefungiwa na Idara ya Habari, Maelezo kwa siku saba kuanzia tarehe 28.02.2019 baada ya *kutenda kosa la kuchapisha taarifa zisizo rasmi za kushuka kwa thamani ya shilingi na kupanda kwa thamani ya dola ya Marekani*.

Kwa wasiojua, *utaratibu wa kidiplomasia unawataka Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao wanapokuwa na jambo ambalo wanaliona lina ukakasi wawasiliane na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi husika ambayo ndio mlezi na msimamizi wao*.

Ilitarajiwa kuwa kama walikwazwa na gazeti la *The Citizen* kufungiwa, wangeuliza wizarani kumetokea nini na bila shaka wangepewa majibu ya Serikali.

Na hili ni jambo la kawaida kabisa, hata Mabalozi wa Tanzania waliopo katika nchi zao wanafanya hivyohivyo. Na lengo kuu ni kujiepusha kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika.

Aidha, kupata ufafanuzi wa Serikali pia kuna epusha Mabalozi kujikuta wanatoa kauli, kwa jambo ambalo linafanywa kwa mujibu wa sheria. *Tanzania ni nchi huru, haipaswi kuingiliwa katika uendeshaji, usimamizi wa sheria na upangaji wa mambo yake*.

Kwa jambo hili Mabalozi wamenaswa katika mtego wa kukiuka msingi huo, wametanguliza mbele maslahi yao na mazoea yao ya kusoma gazeti la *The Citizen* kila asubuhi. Wamejikuta wakihoji jambo ambalo ni utekelezaji wa kawaida wa majukumu ya Serikali.

Na kana kwamba hiyo haitoshi, imedhihirisha wazi kuwa Mabalozi hao wa nchi 8 waliketi pamoja na kujadiliana ujumbe watakaoandika na inaonekana wazi kuwa waliandika na kusambaziana ili wauweke kwenye akaunti zao za *Twitter*.

Ujumbe unaofanana ni huu;

*Today haf to change our morning routine: usually we start the day with a fresh copy of the #citizen. Unfortunately it has been banned in #Tanzania for a week. Is this sanction proportionate to the offence purportedly commited?*
*#PressFreedom #TheCitizenBanned #DefendMediaFreedom*

Inawezekana katika mpango huu Mabalozi walishirikiana na gazeti la *The Citizen*, hii inaleta mashaka kuwa kumbe gazeti la *The Citizen* hutumika na Mabalozi wa baadhi ya nchi kutekeleza matakwa yao kwa sababu yamekuwepo mengine mengi ambayo gazeti hili huchapisha kwa kuonesha dhahiri kuwa linalinda maslahi ya nchi fulani fulani, na kutojali maslahi ya Tanzania.

Vyote kwa vyote, naipongeza Serikali kwa kuchukua hatua dhidi ya gazeti la *The Citizen*, naamini Serikali itatupia jicho pia kwa gazeti la *Mwananchi, Nipashe na Mtanzania* ambayo yameonesha dhihiri kuwa na mwelekeo wenye kuidhohofisha Serikali ya Tanzania ambayo kwa sasa sio siri imeamua kusimamia maslahi ya Tanzania ambayo kwa muda mrefu yamechezewa.

Nampongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kufanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambapo amemuondoa Balozi Mahiga na kumweka Prof. Kabudi.

Nimefurahishwa sana na kauli ya kwanza ya Prof. Kabudi ambapo ameweka msimamo wake mapema wa kutotaka kuona nchi inabagazwa na kuchafuliwa. Na yeye kama mwanadiplomasia namba mbili na msimamizi wa sura ya nchi kimataifa ana wajibu wa kutoruhusu nchi kuchezewa.

Ni bahati mbaya sana Mzee wangu Balozi Mahiga hakuonesha msimamo katika jambo hili pamoja na sifa yake kubwa katika diplomasia ya kimataifa. Ndio maana nchi ilikuwa inachezewa sharubu na Mabalozi wakawa wanajisahau na kuvunja taratibu bila kujali athari wanazosababisha kwa Tanzania kimataifa.

Kwa wasiojua kitendo walichokifanya Mabalozi hawa 8 cha kuandika ujumbe unaofanana na kuuweka hadharani kupitia akaunti zao za *Twitter* ilitosha kabisa kwa Waziri kuwabana hadharani ili waombe radhi na waahidi kutorudia. Katika nchi nyingine ingeweza hata kufikia hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje kuibua hoja kwenye Serikali za nchi zao ili wabanwe na waonywe. Mahali pengine ingeweza hata kufikia hatua ya kuzitaka nchi hizo ziwarudishe Mabalozi wao.

Gazeti la *The Citizen* lilifanya makosa ya kuchapisha habari zenye takwimu ambazo sio rasmi, zilizoonesha kuwa thamani ya shilingi imeanguka sana. Lilichapisha habari hiyo ikiwa na dosari zifuatazo;

*Kwanza halikuchukua wala halikushughulika kuonesha viwango vya kubadilisha fedha vilivyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa siku hiyo. Na hapa ieleweke vizuri kuwa kuna wakati viwango vya kubadilisha fedha hupandishwa kwa njama za wafanyabiashara bila sababu za msingi ama kuzidisha viwango ilimradi wapate faida zaidi*.

*Pili, gazeti hili halikuonesha kuwa sio shilingi pekee yake iliyoanguka kwa wakati huo, zipo fedha nyingine ambazo pia zilianguka zaidi ya shilingi. Na yapo maelezo kuwa katika siku za Karibuni Dola ya Marekani imeimarika sana. Lakini The Citizen sio tu halikuchukua takwimu rasmi bali lilichochea zaidi kwa kuandika viwango vya juu zaidi hali iliyowaogofya wageni na wananchi*.

Madhara ya gazeti hili la *The Citizen* ni makubwa kwa uchumi kwa sababu unapoonesha fedha ya nchi imeanguka ujumbe unaoupeleka kwa jumuiya ya Kimataifa ya wawekezaji ni kuwa Tanzania sio mahali salama pa uwekezaji.

Pili kwa kufanya hivyo ni kutaka kuonesha kuwa hali ya Tanzania ni mbaya kiuchumi.

Mkurugenzi wa Maelezo alieleza vizuri kuwa adhabu iliyotolewa kwa gazeti la *The Citizen* imefuata utaratibu wa sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016 ambayo inaeleza kuwa adhabu ya kufungiwa itafikiwa baada ya chombo husika kuonywa mara tatu. *The Citizen* ilionywa mara tatu. Lilifikia hatua ya kufungiwa.

Mwisho naomba kuwasihi waandishi wa habari wa Tanzania waache kutumika, natambua kuwa wakati mwingine wanashinikizwa na wamiliki wenye nia mbaya dhidi ya Serikali na Tanzania. Hao dawa yao ni mkono wa sheria.

Watanzania tuendelee kupigania nchi yetu tuunge mkono juhudi za Rais na Serikali, uzuri ni kuwa Rais alishatuambia kuwa ameamua kupigania maslahi ya Tanzania. Hii ni vita ya uchumi na katika vita hii watu waliokuwa wakinufaika hawatapenda na watatupiga vita kila upande.

Na sasa tunaona wapo wanaojaribu kuwatumia wanasiasa, wapo wanaotumia vyombo vya habari, wapo wanaotumia kumuiya ya kimataifa na wapo wanaojaribu kuchochea chuki kati ya Serikali na wananchi. Muhimu ni kusimama kidete.

Nawatakia Kwaresma Njema.

Amb. Joseph G.P
Balozi Mstaafu
Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akiyekwambia balozi mstaafu anahtajika Nani? Kama ulikula pensheni yako na makahaba unaisoma namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,444
2,000
WALE WA BUKU SABA UTAWAJUWA. KWANI KUPOROMOKA KWA SARAFU NI MADAWA YA KULEVYA? SI NDO NCHI JINSI ILIVYO?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom