Wanaobadilisha pesa za kigeni nchi hii hawalipi "commission" kama zilivyo nchi nyingi duniani. Nashauri TRA na BoT wawabane wenye Bureau De Change "maduka ya kubadilishia pesa za kigeni "forex" ili waanze kuwalipisha wateja wao haraka iwezekanavyo. Tupate pesa ya kujenga fly-overs nyingi kupunguza foleni mijini. Na elimu ya bure mpaka PhD.