Kampuni ya Gee General Ltd ilivyochota mamilioni Bodi ya kahawa

fred mwakitundu

Senior Member
Dec 31, 2018
141
250
Kampuni ya Gee General Ltd inayojihusisha na ununuzi na uuzaji wa kahawa ni miongoni mwa Kampuni sita zinazochunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa nchini(Takukuru) ikihusishwa na uchotwaji wa Mabilioni ya fedha kutoka Bodi ya Kahawa nchini(TBC) na hii imeibuka baada ya ukaguzi maalumu uliofanywa na CAG kwa bodi ya kahawa na kubaini ufisadi wa zaidi ya Bilioni tatu.

Wizi huo ulikuwa ukifanywa kwa njia mbali mbali ikiwamo wanunuzi hao wa kahawa kulipwa malipo makubwa na maofisa wa Bodi ya Kahawa malipo ambayo hayakuwa yakioana na kiwango cha kahawa kilichouzwa mnadani,mnada ambao hufanyika mjini Moshi yalipo makao makuu ya bodi ya Kahawa.

Kwa kampuni ya Gee General Ltd,katika mnada namba TCB/M/6 wa Juni 15 mwaka 2016,kampuni hiyo iliuza Kilo 20,796 zenye thamani ya USD 65,778.37 ambako ukiondoa makato ya USD 77.99 kwa ajili ya kituo cha utafiti wa zao la Kahawa cha (TaCRI) na uliokuwa mfuko wa maendeleo ya kahawa Tanzania USD 20.80,kampuni hiyo ilistahili kulipwa USD 63,364.67.

Saasa unaambiwa Kampuni hiyo iliingiziwa kwenye akaunti yake iliyopo CRDB tawi la Moshi USD 163,364.67 ikiwa ni ongezeko la USD 100,000 na baada ya kuingiziwa fedha hizo,chapo chap ziliondolewa kwa maelekezo ya maofisa wa Bodi ya Kahawa na kugawanywa kwa watu kadhaa kulingana na maelekezo yaliyotolewa na maofisa wa bodi ya kahawa.

kaitka mnada namba TCB/M/10 wa Oktoba 13 mwaka 2016,kampuni hiyo pia ililipwa malipo makubwa ambayo hayaoani na kiwango cha kahawa kilichouzwa mnadani ambako iliuza Kg.16.066 na ukiondoa makato ya kisheria USD 60.25 kwa TaCRI na USD 16.07 kwa Mfuko wa Maendeleo ya kahawa (ulifutwa mwaka jana na waziri Mkuu),kampuni hiyo ilistahili kulipwa USD 31,968.52 lakini ikalipwa USD 50,835.72 na ziada ya fedha hizo ikaishia mikononi m wa vigogo wa bodi ya kahawa.

Huu ni mfano mdogo wa jinsi mabilioni ya fedha za Bodi ya kahawa yalivyochotwa tena katika msimu wa 2016/2017 tu je misimu ya nyuma hali ikoje,zimechotwa ngapi na waliozichota wako wapi wanafanya nini?,acha tusubiri uchuguzi wa Takukuru
 
Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,830
2,000
Walikula usd 119,000 kwa rate ya sasa kama milion mia 3 kasoro kidogo hao gee general.
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,528
2,000
Huo ufisadi wa dhahiri.Najiuliza hapo bodi imenunua kahawa au?na Bodi hizo pesa wanapata wapi za kuchezea hivyo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom