Let's talk about a young african boy Wode Maya a.k.a Mr Ghana.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Let's be serious a little bit huyu kijana kutoka ghana ambaye ameamua kutembelea nchi mbalimbali za Africa kufahamu utajiri wa nchi mila, tamaduni, miundombinu na kila kitu.

The boy is so talented, amble and so narrative, kwakweli kile kipindi kinafundisha mengi. Na kwa serikali za africa huyu dogo walitakiwa kumpa kabisa tuzo. Maana nch za maghalibi zimekuwa zikitoa picha hasi kuusu bara letu la Africa. But just look dogo kaja bongo kaachia mzigo kidogo tu YouTube kila mtu anasema akuna kama dar es salaam wala atukujuwa kama africa panaweza kuwa vizuri vile.

Lastly nafikili vijana tunatakiwa kujifunza mengi kupitia huyu kijana interm of creativity, we can seat down and brainstorm and later come with good productive idea. Kwa mfano kuna maeneo mengi ya nchi hii kama siyo yote hayajafanyiwa documentary let's say kibondo au kondoa unaenda kule unafanya documentary yako nzuri ukiwa na drone yako unatupia kwenye account yako ya YouTube watu wanatizama wewe unaingiza pesa. Sijasema nilaisi hvyo but ukiamua inawezekana.
 

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,311
2,000
Ndio nani huyi,yani unaandika utadhani kila mmoja hapa anamjua
Nafikili nimefanya summury maana nikiandika kila kitu uzi utakuwa mrefu sana ila nikijana wa ghana anatembelea nchi mbali mbali za africa nakufanya documentary ingia youtube yake kwa jina la Wode Maya.
 

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,762
2,000
Kwanini alifukuzwa Uganda? Je huyu sio tishio kwa usalama wa nchi? Nani anadhamini ziara zake?
 

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,762
2,000
Kwanini alifukuzwa Uganda? Je huyu sio tishio kwa usalama wa nchi? Nani anadhamini ziara zake?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom