Dar: Polisi waua majambazi watano

Dar: Polisi waua majambazi watano

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua majambazi watano na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne, kukamata silaha nne na risasi 59 katika matukio matatu tofauti.

Marchi 3 mwaka huu majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni huko maeneo ya Kibaha Maili moja Jeshi la Polisi likiwa katika ufuatiliaji lilimkamata mtuhumiwa moja aitwaye Friday Samson (29)askari wa JWTZ Kikosi cha 36KJ Kibaha Msangani na katika mahojiano ya kina alikiri kumiliki silaha mbili kinyume cha sheria na kwamba huzihifadhi silaha hizo nyumbani kwa mke mdogo mtaa wa Muheza Kibaha Pwani na hufanyia matukio ya uhalifu katika maeneo mbalimbali.

Baada ya mahojiano Jeshi la Polisi pamoja na mtuhumiwa huyo walifika kwenye nyumba hiyo na kufanikiwa kukamata silaha aina ya AK 47 yenye namba NM174844 ikiwa na risasi 20 ndani ya magazine, boksi moja likiwa na risasi 27,bastola moja yenye namba 3249 ikwa na risasi 7 ndani ya magazine na risasi 3 za silaha ya G3.

Mtuhumiwa alikubali kuwaonyesha wenzake watatu anaoshirikiana nao katika matukio hayo na askari walipofika kwenye nyumba wanayoishi watuhumiwa hao walianza kukimbia kupitia mlango wa nyuma na hatimaye askari walirusha risasi hewani kuwaamuru wasimame lakini walikaidi na ndipo walipowafyatulia risasi za miguu ambazo ziliwajeruhi na walifariki dunia wakiwa njiani kupelekwa hospitali.
 
WE need an independent source. Si ajabu ni wafuasi wa upinzani.
 
Next time polisi wawe wanawalenga WATUHUMIWA risasi za tumbo tu! Maana za miguuni huwa daima zinapelekea vifo vyao na kuwanyima nafasi ya kujitetea ambayo ni ya msingi kwa wote! Au angalau wawe wanalenga vichwa!!
 
Uhalisia bhana mtuhumiwa/jambazi anapokuwa anakimbia hovyo hovyo na polisi wanamkimbiza kuotea shabaha ya kuwa neutralize kwa kulenga miguu ni kipaji asee. Uzito wa bunduki jumlisha kulenga shabaha huku unakimbia it's not a joke. La msingi wawe kweli ni majambazi.

Hata mtaani kibaka akipigwa kiberiti na raia ni sawa. Ila risasi zikiwalaza kutoka kwa polisi na kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia movie nyingi za kivita lakini hizi za bongo kali balaa! [emoji849] Eti risasi za miguu wakafariki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua majambazi watano na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne, kukamata silaha nne na risasi 59 katika matukio matatu tofauti.

Marchi 3 mwaka huu majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni huko maeneo ya Kibaha Maili moja Jeshi la Polisi likiwa katika ufuatiliaji lilimkamata mtuhumiwa moja aitwaye Friday Samson (29)askari wa JWTZ Kikosi cha 36KJ Kibaha Msangani na katika mahojiano ya kina alikiri kumiliki silaha mbili kinyume cha sheria na kwamba huzihifadhi silaha hizo nyumbani kwa mke mdogo mtaa wa Muheza Kibaha Pwani na hufanyia matukio ya uhalifu katika maeneo mbalimbali.

Baada ya mahojiano Jeshi la Polisi pamoja na mtuhumiwa huyo walifika kwenye nyumba hiyo na kufanikiwa kukamata silaha aina ya AK 47 yenye namba NM174844 ikiwa na risasi 20 ndani ya magazine, boksi moja likiwa na risasi 27,bastola moja yenye namba 3249 ikwa na risasi 7 ndani ya magazine na risasi 3 za silaha ya G3.

Mtuhumiwa alikubali kuwaonyesha wenzake watatu anaoshirikiana nao katika matukio hayo na askari walipofika kwenye nyumba wanayoishi watuhumiwa hao walianza kukimbia kupitia mlango wa nyuma na hatimaye askari walirusha risasi hewani kuwaamuru wasimame lakini walikaidi na ndipo walipowafyatulia risasi za miguu ambazo ziliwajeruhi na walifariki dunia wakiwa njiani kupelekwa hospitali.
Mambo Sasa katika ubora wake,mmewafyatulia miguuni na kufariki njiani kuelekea hospitalini hamjui hata kudanganya!!
 
Back
Top Bottom