Je tuko tayari kulipa gharama kwa jaji Rumanyika

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,261
Leo jaji Rumanyika wa mahakama ya rufaa, katuletea furaha ama katupa zawadi ya furaha. watanzania wote, wapenda haki, uhuru na umoja bila kusahau uwajibikaji. kwa kuwaachia huru ndugu zetu, wapendwa ndugu Freeman Mbowe na ndugu Esther Matiko.

Sasa swali linalobaki ni kwamba, je ikiwa jaji Rumanyika, ameenda tofauti na ile mamlaka iitwayo ya maagizo kutoka juu, je watanzania tuko tayari kumlinda jaji Rumanyika, tuko tayari nasi kujitoa kwa ajili yake, kama ambavyo yeye amejitoa kwa ajili ya wengine.

Maana iko wazi ile mamlaka ya maagizo kutoka juu, haiwezi kufurahishwa hasa na kile kilichosemwa na jaji Rumanyika. maana kwa kweli ni maneno yenye kuonesha uozo mkubwa uliopo ndani ya mamlaka za mahakama na mamlaka ya maagizo kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna cha pongezi ni kazi yake.japo huo ni mpango ulisukwa vizuri ilikuonyesha kunademokrasia
 
Siwezi kushabikia michezo hii maana LISSU keshalianzisha ughaibuni wanatafuta gia ya kulizima ila moto ushazidi maji tulieni vitu viteketee.

Uyo mnayemshangilia ndo uyo kesho atatumika kumfunga alafu watamtumia Mashauri kumtoa ndani, so Mahakama zetu haziko salama zinaelekezwa nini chakufanya kwa maslahi binafsi.

Mbowe na Esther wameshinda maana yake wana haki ya kudai fidia.
Je aliyesababisha hasara kwa Taifa anachukuliwa hatua gani kwakutumia madaraka vibaya?

Hii inaweza kuwa logic japo hiki unachokisema huwezi kukithibitisha japo ata kwa nukta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
je watanzania tuko tayari kumlinda jaji Rumanyika, tuko tayari nasi kujitoa kwa ajili yake, kama ambavyo yeye amejitoa kwa ajili ya wengine.
Jaji hawezi kufukuzwa na Jiwe! yuko safe!
 
Halafu yule CAG mbona habari zake zipo kimya mpaka sasa tangu aitwe na wale wabunge wa ile kamati au ndo habari zake zimeishia hapo hapo???
 
Lowassa amerudi, mashtaka mengi tu yatafutwa.... tuunge mkono juhudi tusonge mbele.

Usile Mbegu.
 
Leo jaji Rumanyika wa mahakama ya rufaa, katuletea furaha ama katupa zawadi ya furaha. watanzania wote, wapenda haki, uhuru na umoja bila kusahau uwajibikaji. kwa kuwaachia huru ndugu zetu, wapendwa ndugu Freeman Mbowe na ndugu Esther Matiko.

Sasa swali linalobaki ni kwamba, je ikiwa jaji Rumanyika, ameenda tofauti na ile mamlaka iitwayo ya maagizo kutoka juu, je watanzania tuko tayari kumlinda jaji Rumanyika, tuko tayari nasi kujitoa kwa ajili yake, kama ambavyo yeye amejitoa kwa ajili ya wengine.

Maana iko wazi ile mamlaka ya maagizo kutoka juu, haiwezi kufurahishwa hasa na kile kilichosemwa na jaji Rumanyika. maana kwa kweli ni maneno yenye kuonesha uozo mkubwa uliopo ndani ya mamlaka za mahakama na mamlaka ya maagizo kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unafiki tu ukiambiwa anaumwa changia
Unaingia mitini wewe ni mtanzania halisi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nchi imesimama, Magumashi amemeza his pride, dunia imemkunjia ndita, korosho hazinunuliki, no forex, no misaada, nchi haiendesheki amebaki kuwazuga wahisani kuwa mahakama imetenda haki.
Tundu Lissu mulika mwizi meeeeeeeen
 
"MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU"; alichofanya Jaji Rumanyika ndio maana halisi ya msemo huu wa wahenga! Inshallah Mwenyezi Mungu atamlipa na zaidi ya kumlipa; sio duniani tu na Mbinguni pia jina lake limeandikwa katika Kitabu cha Uzima. Kumbe katika waovu wengi hapakosekani wachache wenye hofu ya Mungu kama ilivyokuwa Sodoma na Gomora nyakati zile.
 
Back
Top Bottom