Ephrahim kibonde nenda BBC sasa

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
 
Jamani BBC na DW sio vituo vya habari vya mipasho..nakushangaa mkuu kusema kuwa huyu jamaa anafaa huko..Mimi nasema anafaa kwenye habari za mipasho na umbea umbea..Hao uliowataja kama auncle Charles na wengine walikuwa wanajiheshimu hata wakiwa studio..huyu jamaa ajiheshimu kabisa,msikilize kwenye kipindi chake cha JAHAZI..lakini baya zaidi kuwa kwenye hii Radio Station yaani CLOUDS FM ndio kunaharibu kabisa....
 
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
ooh would u spare me sometime pliz?yaani unamlinganisha huyu mb.eya kibonde na watu wenye heshima zao na akili zao timamu kama CHARLES HILLARY?you cant be serious.usirudie tena tafadhali.huyu jamaa yako kibonde ni kibonde hasa kitchen parties ndo zinamfaa
 
Tuelze huyu Ephraim Kibonde anasifa gani zinazomfaa aende BBC? Huyu Ephraim Kibonde ukisikilza sana mazungmzo yake na michango yake mini imekuwa ni logic less sasa sijui kama BBC kuna nafsi ya watangazi uchwara kama Kibonde, labda aende kutangaza radio uhuru ndio saizi yake!
 
upeo wake ni mdogo mno hawezi kuwa mtangazaji kwenye radio ambayo iko serious na issues
 
Je, darasa litakua linatosha kweli mbali na kipaji alionayo? Na ule ushbiki wa ki-siasa Tandale akamuachie nni? Mbona pengo lake litakua halizibiki kwa CCM??????

WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE.

NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO.

MNAONAJE WADAU?
 
Kutoka Shortwave radio mpaka bbc,dw?
Your not gt, yaani kuwa maarufu mitaani kwa watu wenye kufatilia umbea na majungu ndio umpeleke kwenye vyombo vya hesahima kama vile,
tofautisha umaarufu na uwezo wa mtu,
pia angalia huo umaarufu wake kaupataje,tabaka gani la watu wanamuona kuwa maarufu?...
Watake radhi akina hilary,
kwanza kibonde ana elimu ya form four ila ana maujanja ya kiu-dj,
 
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
Pumba pumba punguza pumba mkuu.
 
alikuwa ni mtangazaji huko,wewe unataka arudi tena ? ulitakiwa kuuliza kwanini ametoka huko na kuja huku
 
:flypig:
A%20S-danger.gif
:alien:
 
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?

Naunga hoja. BBC ilishakuwa kamati ya sekretariati ya CCM muda mrefu sasa
 
Back
Top Bottom