Wafanyakazi walia machungu ya PAYE

1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,629
2,000
Hayo ndiyo tunayotaka kuyaona Kwa wazalendo.

Tulitegemea pawe na uwiano tofauti wa PAYE Kwa wale wenye mishahara mikubwa na midogo.

Nilitegemea wenye mishahara inayozidi mil. 3 , PAYE Iwe ni 20%.
Na wale wa Mil.1- 2. iwe 14
Chini ya mil.1 iwe 8%.
Ili kila mtu afunge mkanda Kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Hii itasababisha uchimi wa nchi uimarike Kwa kuwashirikisha wote kuchangia pato la nchi. Kwa sasa hali ilivyo wanaoumia sana na mabadiliko au kipindi hiki kinachoitwa cha mpito na vita ya ichumi ni wale wafanyakazi na wafanyakazi wa chini na wa kati.Wale wajuu wanazidi kuneemeka kwa jasho la wale wa chini.
Magari ya kifahari ni wale wa juu.
Posho kubwa ni wale wa juu.
Dereva wa serikali anawaendesha wale wa juu.
Nyumba nzuri za serikali wanakaa wale wa juu.
Ofisi zenye viyoyozi na majokofu na vinywaji zipo kwa wafanyakazi wale wa juu.
Wanapaswa walipe kodi kubwa sana zitalazowafanya wadogo wasiumie sana. Pia itarekebisha tofauti kubwa sana sana ya mishahara ya umma na hata mashirika binafsi.

Kunaashirika wanalipwa mishahara mikubwa ,hivyo hata kodi tilitegemea iwe ni zaidi ya 30% mpaka 40%.
Hii ndiyo haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,125

Hili kundi na hao unaotaka wakatwe Kodi kubwa ndiyo kundi linaloweka viongozi madarakani na ni kundi dogo sana! Kundi unalotetea ndiyo kundi kubwa..bahati mbaya sana hili ni kundi ambalo lina watu wasiojielewa. Km hujaelewa subiri wakati wa uchaguzi uangalie wanaosimamia uchaguzi na jinsi wanavyotii maelekezo ya hao unaotaka walipe Kodi kubwa.

Mawazo yako ni mazuri sana,lkn yanaweza kuwa na impact kubwa km utayahamishia Venezuela lkn siyo Tanzania!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,070
2,000
kwa taarifa tu ni kwamba haki haiji kwenye kisahani kama cha biriani.
kwa taarifa tu ni kwamba ni kwamba hata kwenye bajet ya mwaka huu hakuna nyongeza.
waendelee kusubiri T SHIRT Za tughe na TALGU
Haka ni kakikundi kasikojitambua?
 
Akwota

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
650
500
kwa taarifa tu ni kwamba haki haiji kwenye kisahani kama cha biriani.
kwa taarifa tu ni kwamba ni kwamba hata kwenye bajet ya mwaka huu hakuna nyongeza.
waendelee kusubiri T SHIRT Za tughe na TALGU
Haka ni kakikundi kasikojitambua?
Sure!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Tyetyetye

JF-Expert Member
Dec 3, 2014
894
1,000
Hayo ndiyo tunayotaka kuyaona Kwa wazalendo.

Tulitegemea pawe na uwiano tofauti wa PAYE Kwa wale wenye mishahara mikubwa na midogo.

Nilitegemea wenye mishahara inayozidi mil. 3 , PAYE Iwe ni 20%.
Na wale wa Mil.1- 2. iwe 14
Chini ya mil.1 iwe 8%.
Ili kila mtu afunge mkanda Kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
Hii itasababisha uchimi wa nchi uimarike Kwa kuwashirikisha wote kuchangia pato la nchi. Kwa sasa hali ilivyo wanaoumia sana na mabadiliko au kipindi hiki kinachoitwa cha mpito na vita ya ichumi ni wale wafanyakazi na wafanyakazi wa chini na wa kati.Wale wajuu wanazidi kuneemeka kwa jasho la wale wa chini.
Magari ya kifahari ni wale wa juu.
Posho kubwa ni wale wa juu.
Dereva wa serikali anawaendesha wale wa juu.
Nyumba nzuri za serikali wanakaa wale wa juu.
Ofisi zenye viyoyozi na majokofu na vinywaji zipo kwa wafanyakazi wale wa juu.
Wanapaswa walipe kodi kubwa sana zitalazowafanya wadogo wasiumie sana. Pia itarekebisha tofauti kubwa sana sana ya mishahara ya umma na hata mashirika binafsi.

Kunaashirika wanalipwa mishahara mikubwa ,hivyo hata kodi tilitegemea iwe ni zaidi ya 30% mpaka 40%.
Hii ndiyo haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile haki ya kujenga nchi ni kwa wote, tuanzie kwa rais na waziri mkuu, wote walipe kodi. Nchi masikini kama Tz wanaolipa kodi ni masikini lakini viongozi wa juu hawalipi kodi na mishahara yao ni siri. Nasikia hata kivuko cha kwenda kigamboni wabunge na wanasiasa halipii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,909
2,000
Hii nchi wapo watu wanaishi kama wapo peponi sababu tu ya kupiga makelele majukwaani na nyadhifa walizokua nazo huku wengine wakiishi kwa mateso makubwa. Bahati mbaya dunia hakuna haki na kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Getstart

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
6,652
2,000
PAYE kupungua kwake ilikuwa kipimo cha utendaji wa serikali iliyopita ikiwemo pia kupanda kwa kima cha chini. Lakini hii tunazungumza historia.
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
3,105
2,000
PAYE itapunguzwa na mshahara kuongezwa katika budget ya 2020. Na Watanzania walivyo malofa, watapewa na T-shirts za kijani na kanga na kuwapigia tena hao hao kura...
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,629
2,000
Hii nchi wapo watu wanaishi kama wapo peponi sababu tu ya kupiga makelele majukwaani na nyadhifa walizokua nazo huku wengine wakiishi kwa mateso makubwa. Bahati mbaya dunia hakuna haki na kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake.
Mtu anatembelea gari la mil.200 ,dereva wa Serikali, Mlinzi wa serikali, posho kubwa ,mshahara zaidi ya Mara ishirini ya kima cha chini cha mwafriaka mwenzake halafu mtu huyo anamtukana na kumfokea na kumdhalilisha mfanyakazi asiyeweza kukopeshwa( kukopeshwa ) mil.40 kwa wakati mmoja ili ajijenge akiwa kazini kutokana na mshahara mdogo usiofika hata laki 5 kwa mwezi.
Yani mtu huyo anayemdhalilisha mwalimu na mfanyakazi mwenzake,yeye anatembele Gari la serikali ya wanyonge lenye thamani ya Sh. Mil.200. Akitaka mkopo anapewa mil. 500 + .
Mabeberu wa karne hii Afriaka ni viongozi wao na watawala wao wa kisiasa.

Karne hii Afrika hakuna Mzungu wala mwarabu anayetunyonya kwa sasa zaidi ya watawala ndio maana wazungu wakija Afrika wanatembea mpaka na baiskeli au kwa Miguu lakini watawala wanatembelea mageri yenye bei ya gharama ya Zahanati na madarasa matano kuja kuzindua ujenzi wa choo cha shimo cha shule chenye thamani ya sh.mil 15.
Aibu kubwa kwa mabeberu wa Afrika karne hii ya 21.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
14,665
2,000
Ukishaona TRA inakusanya laki 5 kama PAYE ni kirambasi... Hii rate ya kukokotoa PAYE inatakiwa marekebisho...

Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,629
2,000
Ukishaona TRA inakusanya laki 5 kama PAYE ni kirambasi... Hii rate ya kukokotoa PAYE inatakiwa marekebisho...

Ukiwawezesha wanawake umewezesha jamii
Kule Kongo ya Mashariki Mfanyakazi ambaye mshahara wake wote kwa Mwaka hauzidi mil.4 anatakiwa sasa awe na kitambulisho cha wamachinga.
Alipe elfu 20 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom