HIVI MAKABURI YA KINONDONI HAYAJAI?

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Jamani hili swala pia usikute kuna wanaojiuliza pia hivi toka kuzikwa KANUMBA 2012, bado kuna sehemu kweli?
Hapo kati hakuna waliokufa?
Au haya makaburi wanazikwa watu maarufu tu?
Au ni mechanism gani hutumika kuzika watu na pasijae na vipi bei ni shillingi ngapi?
 
Vipi unaulizia bei unataka kuwai kiwanja mkuu?

CC Zero IQ
 
Lengo ni kutaka kujua ili sik tukiwa na msiba na hatusafirishi na sisi tukazikie pale
Siku ukishaupata huo msiba ukifika pale ndio utajua kama nafasi ipo au haipo.

Nb:
Makaburi huwa hayajai mkuu

CC Zero IQ
 
Jamani hili swala pia usikute kuna wanaojiuliza pia hivi toka kuzikwa KANUMBA 2012, bado kuna sehemu kweli?
Hapo kati hakuna waliokufa?
Au haya makaburi wanazikwa watu maarufu tu?
Au ni mechanism gani hutumika kuzika watu na pasijae na vipi bei ni shillingi ngapi?
Watu wa kawaida wanazika pale..labda kaulize kaulize gharama ofisi za halmashauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaburi juu ya kaburi kama ujajengea, unakuta alipozikwa jana leo hapo hapo tunazika mwingne,,,

Ushawai kuona kaburi za kupangisha. Bado!

wakati ukuta.
 
Nadhani wengine watakuwa wanazika kwa mikataba, baada ya miaka kadhaa mkataba unaisha.
Swali hili hili liende pia makaburi ya Kisutu, pia yale makaburi sijawahi kuyasikia yamejaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom