Kitu muhimu mnapouziana ni hivi

Kitu muhimu mnapouziana ni hivi

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
241
Reaction score
132
Viongozi tukumbushane, unakwenda kununua gari, kwa mtu (sio show room), kitu cha kwanza kadi, pili mkataba,
Unaweza taja kitu kingine. Lengo ni kuhakikisha hakuna nafasi ya kutapeliwa. Tushauriane
 
ndiyo Unanunua kila kitu kipo okay baada ya mwezi Mmoja Umepaki chini ya miti Starehe gharama angalia yasikukute haya.
 
Back
Top Bottom