Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

Picha: Nikiamka nazikuta chale, zinatoka wapi?

shadownet

Senior Member
Joined
Aug 4, 2015
Posts
133
Reaction score
678
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Update: Hizi ni picha za mkono kwenye msuli sio mapaja wala mgongo

IMG_20180619_004605.jpg
IMG_20180619_004553.jpg
IMG_20180619_004524.jpg
 
Hizi sio chale ni mikwaruzo mkuu.

Chale huwa zinakuwa nyingi zimepangana kidogo kidogo.

Zingekuwa chale tungesema ni ushirikina wa wajanja wa dunia wamekuchawia.

Kwa kwa mwendo wako yawezekana ukawa umejikwaruza kwenye kitanda au kuna wanga wamekuwangia tu ili kukuenjoi na sio kukuchanja chale kwa maana ya ulozi.

Ila pia kama walikuchukua usiku kuwafanyia kazi, basi ulijikwaruza kwenye kazi zao wenye kazi za usiku.

Ila hakuna uchawi hapo, ni vibweka tu vya kiroho au mikwaruzo ya kawaida.
 
Nmekua nikijiiliza sana hizi chale ziatokea wapi, siku Fulani niliamka nikazikuta zipo mkononi karibu na bega ,nikazipiga picha ....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Daah kuna watu wanakuchezea usiku nebda kwenye maombi kama uko dar neda mtoni kwa aziz ally tafutabkanisa la eagt kwa pastor katunzi hapo utapona hutaziona tena hzo chale maombi ni bure hapo.
 
Kwanza pole kwa kupatwa na hiyo mikwaruzo... ninachoomba kujua je siku ya jana yake {kabla hujaenda kulala} hukuwa kwenye mishe mishe zilizosababisha mikwaruzo huyo {labda shamba n.k} pengine bila wewe kujua? lkn pia uwe wa IMANI ya namba yoyote ile yatupasa na kuomba hasa nyakati za usiku kabla ya kwenye kupumzisha bongo zetu ni muhimu sana kuomba ulinzi wa Mungu ili kuwapisha mbali watu wabaya.. zaidi ya hayo seek GOD help ndio mwisho wa mataizo yako.
 
Nmekua nikijiuliza sana hizi chale ziatokea wapi, inatokea nalala sina alama ila kesho nakuta eneo ambalo lilikuwa halina alama kesho yake limechanjwa na kitu kama viwembe kwa mbali, sio Mara moja hii kitu yaweza kunitokea mara mbili kwa mwezi sana sana maeneo ya mikono, kifuani ama mgongoni.

nimeambatanisha picha za chale nlizozikuta kwenye sehemu ya mkono....Hua zinatoka wapi na zina maana gani naombeni mawazo yenu.

Cc. Mshana Jr View attachment 818225View attachment 818226View attachment 818229
Kata kucha zako! Labda humo unajikuna mwenyewe unapowashwa.
 
Hahahahaha
ile avatar yako nyingne iko wap? Najuta kwa nini sikuidownload, nimeamin maneno ya wahenga yasemayo "thamani ya kitu huja ukikikosa" ila sio mbaya nitakuja Pm unitumie. Turud kwenye maada, Mtoa mada nahc kalala na bund bila kujua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom