Naibu Spika Dk Tulia akabidhi msaada wa gari la zima moto Mbeya

Tunduma wanatamani tulia awe mbunge wao,vijana mbeya mjini ambao sugu anawaita machizi sasa wanasema tumemchoka sugu kazi yake kutukana hana lolote,pita kila mashine ya kukoboa mpunga,sokoni,stend,misibani wote wanasema sasa tuone CCM watatufanyia nini matusi ya sugu na chama chake tumechoka,hayo ni maoni ya watu wa chini kabisa walala hoi na wapiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili gari liliharibika alichofanya ni kulitengenezea, Dada endelea na moyo huo huo wa kutupa msaada wanambeya ila kama lengo la kutoa misaada ni kumvua raisi wa Mbeya endelea kuota:p:p
 
Back
Top Bottom