Msanii nik Wa pili abagua walemavu wazi wazi.

MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
1,977
2,000
Msanii huyu anaejinasibu kama msanii msomi kuliko wote na mwenye ndoto za kuwa Rais amewafananisha wanawake wasiojitambua sawa sawa na wanawake wenye ulemavu Wa akili.
Yapasa aombe radhi Kwa kweli
IMG-20190308-WA0093.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

MLUGURU

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
1,977
2,000
Kosa alilolifanya hapo ni kuwafanisha wanawake wenye tabia za kudanga na wanawake wenye ulemavu Wa akili.

Maana nyingine ni kuwa ulemavu Wa akili Wa MTU haumpelekei MTU huyo kuwa na tabia alizozielezea huyo msanii.

Alipaswa kuwaongelea wanawake wadangaji Bila kuwafanisha na watu wenye ulemavu Wa akili.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hawachi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
12,040
2,000
Kosa alilolifanya hapo ni kuwafanisha wanawake wenye tabia za kudanga na wanawake wenye ulemavu Wa akili.

Maana nyingine ni kuwa ulemavu Wa akili Wa MTU haumpelekei MTU huyo kuwa na tabia alizozielezea huyo msanii.

Alipaswa kuwaongelea wanawake wadangaji Bila kuwafanisha na watu wenye ulemavu Wa akili.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera umefafanua vizuri
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,448
2,000
Mimi ndio naweza nikawa nadanga na hii hali ya kudanga itakuwa imesababishwa na matatizo yangu ya akili.

Lakini haikuwa busara kufananisha matatizo yangu ya akili na watu wenye ulemavu Wa akili.Ni vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutofautisha ulemavu wa akili na kujichetua akili ili kuyakabili mazingira.Bila kuonesha chuki kwa walemavu wa akili,je weye ungependa kupata mtoto mwenye ulemavu huo au weye mwenyewe kuwa mlemavu wa aina hiyo.Well and good!Unasemaje kuhusu Mwalimu Nyerere kutuasa kuwaogopa watu aina fulani kama wagonjwa wa ukoma?Say something!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom