Kwani CHADEMA ya sasa inakwama wapi?

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Augustino Chiwinga
0756810804

Kwa kawaida kila kitu kinapokua kinataka kufikia tamati yake huwa kinonesha dalili fulani mathalani, mtu anapotaka kuuga roho huwa kuna dalili zake, gari linapokaribia kuisha mafuta huwa kuna dalili zake, na hata ndoa inapokuwa inakaribia kuvunjika huwa pia kuna dalili zake zinajionesha.

Kwa upande wa siasa nako ni hivyo hivyo pale chama cha siasa kinapotaka kufa lazima kioneshe dalili.

Chadema ndani ya miaka hii mitatu na nusu kimeonesha dalili nyingi na za wazi kwamba kinaelekea kufa.
Aina ya siasa ilizoamua kuzifanya zinakiweka kwenye hali ya umahututi kisiasa chama hicho.
Kimeshindwa kabisa kuhimili mawimbi makubwa ya Chama Cha Mapinduzi.

Kitendo cha Wabunge,madiwani, na wanachama wengi kuhama Chadema na kujiunga na CCM ni mojawapo ya mawimbi makubwa yaliyokichanachana chama hicho.
Badala ya kutafuta majawabu ya nini haswa chanzo kinachopelekea wapoteze wanachama wengi namna ile wao wakaja na porojo kwamba CCM inawanunua.Hapo walianza kukwama kwani CCM haiwezi kupoteza hela kwa ajili ya kupata Wanachama, na wala haijawahi kufanya hivyo.

Leo nataka niwaoneshe pale wanapokwama Chadema.Mkwamo wao unasababishwa na kitu kimoja tu, nacho ni Uongozi wa Chama Taifa.
Chini ya Mbowe Chadema imekwama na kupwaya sana japo wapambe wake hawataki kulikubali jambo hili.
Mbowe ameshindwa kutoa uongozi bora kwa chama chake. Ameivunja misingi yote iliyojengwa na Dr.Slaa.

Mbowe ameshindwa kuwashauri viongozi wenzake kutii sheria bila shuruti badala yake wamekuwa mstari wa mbele kuvunja sheria kwa makusudi ili wakamatwe kwa malengo ya kujiongezea umaarufu wa kisiasa.
Kesi wanazojitafutia kwa makusudi haziwezi kuwasaidia kuwapandisha juu kisiasa badala yake zinawafanya wapiga kura wao waone walichagua wahalifu badala ya wawakilishi.
Wao ukamanda ni kuvunja sheria kwa makusudi.

Hata hatua ya Mbowe ya kuruka masharti ya dhamana kwa makusudi ililenga kupata kura za huruma za Wanachadema katika uchaguzi mkuu wa chama hicho mwaka huu ili aendelee kuwa Mwenyekiti asiye na ukomo.

Chadema pia inakwama kwa kujifanya wajuaji na kugeuka chama kipinga maendeleo.Wao Chadema kila kitu wanajifanya wanajua, hawaoni jema lolote linalofanywa na Serikali.Sina hakika kama Serikali ikiamua kuwajengea ofisi watakosoa pia.

Tabia ya kupinga maendeleo inawaweka mbali na Wananchi kwa sababu wanaona hawa si watu wa kuaminika wa kuwapa dhamana kwa sababu hawapendi Tanzania ipate maendeleo.
Na ukiangalia kwa jicho la tatu utaubaini ukweli huo.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haipendi watu walipe kodi. Ulipaji wa kodi ni muhimu kwa sababu ndio unaowezesha Serikali kupeleka huduma za maji na Afya Vijijini
Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki wahujumu uchumi na watakatisha fedha wachukuliwe hatua.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki Tanzania iwe na umeme wa uhakika (Stiegeler's Gorge wala usafirishaji wa kisasa (ATCL&SGR)
Chadema ya sasa haitaki Tanzania inufaike na Raslimali zake kama vile madini nk.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki Wajasiriamali wadogo watambulike,waheshimiwe ,wathaminike wafanye biashara zao kwa utulivu kwa kupewa vitambulisho maalumu.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki Tanzania liwe Taifa lenye maadili mema , wanataka watu waruhusiwe kutukana bila kuchukuliwa hatua.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haiheshimu uhuru wa mahakama.Wao kesi ikiamuliwa kwa upande wao watasema mahakama imetenda haki, ikiamuliwa vinginevyo Jaji au Hakimu ajiandae kuoga mvua ya matusi na vitisho.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki wanafunzi wasome bure.
Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki tujenge madarasa,madaraja,barabara kwa kusema eti ni maendeleo ya vitu na sio watu.Sasa kwani vitu hivyo vinatumiwa na watu au wanyama?.

Chadema ya sasa inakwama kwa sababu haitaki Tanzania iwe na amani ndio maana wanashangilia Polisi akifariki.
Kwa mwendo huu Chadema itaendelea kukwama sana.Kitaendelea kuwa chama cha machokoroni.

Augustino Chiwinga
0756810804.
 
Kweli chadema inakwama sana maana yenyewe ndo inasababisha tushindwe mpaka kesi ambazo badala yake tulipa mabilion ya pesa.
Kweli chadema inakwama maana hata baada ya kuzuia mikutano ya ndani bado imeendelea kuwakosesha usingiz
Chadema inakwama kwa maana hata baada ya kukwama kuwashawishi wanachama wake wajiunge nanyi mmeishia kuwalipa majihela kibao ili wahamie kwenu na kuwalipa kwa mivyeo kibao pasipokujua pia kuwa ni mkakati wao ili waweze penya ndani mwenu wawajue jinsi mlivyo, na uzur wameanza kuwavuruga maana wale halisi wanakinyongo kama nin na nyie wenyeji.
Ila ongeza juhud kwa andiko hili bado jpm hajakuona ili akupe walau ujatibu tarafa
 
Mkuu unafiki siyo mzuri we huangalia mechi, haoni kabisaa maovu yanayotendeka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli chadema inakwama sana maana yenyewe ndo inasababisha tushindwe mpaka kesi ambazo badala yake tulipa mabilion ya pesa.
Kweli chadema inakwama maana hata baada ya kuzuia mikutano ya ndani bado imeendelea kuwakosesha usingiz
Chadema inakwama kwa maana hata baada ya kukwama kuwashawishi wanachama wake wajiunge nanyi mmeishia kuwalipa majihela kibao ili wahamie kwenu na kuwalipa kwa mivyeo kibao pasipokujua pia kuwa ni mkakati wao ili waweze penya ndani mwenu wawajue jinsi mlivyo, na uzur wameanza kuwavuruga maana wale halisi wanakinyongo kama nin na nyie wenyeji.
Ila ongeza juhud kwa andiko hili bado jpm hajakuona ili akupe walau ujatibu tarafa
Chadema imekwamishwa na ccm kwa malengo ya kisiasa, cha ajabu hata hili hamlioni kweli wafuasi wa ccm niliambiwa mbumbumbu wengi huwaonao ni wafuasi wa ccm sasa naamini.
 
Back
Top Bottom