(Video) Serikali ichukue hatua dhidi ya huyu mchungaji

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,121
2,000
Wanajamvi
Salaam

Naamini bila kuwa na chembe yoyote ya shaka,huyu mchungaji anahitilafu kwenye ubongo. Ukifuatilia jinsi anavyoropoka utagundua kabisa huyu dishi limeyumba.

Lkn pamoja na hitilafu zake kwenye ubongo,hili la sasa limezidi. Maoni yangu Kwa serikali ingemchukulia hatua huyu mchungaji kwa haya maneno yake.

Mchungaji km huyu yupo kwenye msako wa kupata waumini ili aweze kukusanya sadaka,maneno km haya anayosema anaweza kutumia hiyo nafasi kwa kufanya umafia wa kutumia wahuni kuwapa sumu wafanyakazi wa clouds ili aonekane anayosema yanatoka kwa Mungu.

Kwa hivyo,ni vizuri kuchukua tahadhari..huu ujinga wa kutuambia sisi eti ameambiwa na Mungu bila sisi kuona inabidi ukomeshwe kabisa!.

Ni maoni yangu lkn na si lazima kila akubaliane na mimi.

Nawasilisha! View attachment KATIBU_WA_WAMBEA on Instagram_ _Weka comment yako(MP4).mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
22,127
2,000
Anatafuta kiki za kishenzi tu, mbona hakuongea haya kabla Kibonde hajafariki, mnaona sifa kutabiri mabaya, mbona hamtabiri mema, na kwanini unaongea as if kufa kwao ni kama adhabu flani hivi kwa kosa flani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom