Kenya wameanza chokochoko tena, na sisi tumewajibu

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,335
Sasa hivi ni mwendo wa mwaga mboga sisi tumwage ugali.

Wakenya wameanza kuzuia bidhaa toka Tanzania na kuanza kuzipima upya ili kuzikagua ubora ilihali kulikua na makubaliano ya kwamba bidhaa zikishapimwa na TBS ziingie Kenya bila kikwazo...na sisi tumeamua kuanza kuzipima za kwao. Ni ujinga ujinga ambao unawacost wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Tanzania, Kenya now row over border screening
 
TBS, binafsi sina imani nayo coz mtaani kuna bidhaa nyingi ambazo si salama.
So, waache wapime bidhaa ili kuthibitisha ubora coz bongo kuna janjajanja nyingi sana, unaweza pata uthibitusho wa bidhaa kwa kuhonga tu.
Kuhusu makubaliano wana weza kupanga upya.

Sasa hivi ni mwendo wa mwaga mboga sisi tumwage ugali.

Wakenya wameanza kuzuia bidhaa toka Tanzania na kuanza kuzipima upya ili kuzikagua ubora ilihali kulikua na makubaliano ya kwamba bidhaa zikishapimwa na TBS ziingie Kenya bila kikwazo...na sisi tumeamua kuanza kuzipima za kwao. Ni ujinga ujinga ambao unawacost wafanyabiashara na raia wa kawaida.
Tanzania, Kenya now row over border screening

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TBS, binafsi sina imani nayo coz mtaani kuna bidhaa nyingi ambazo si salama.
So, waache wapime bidhaa ili kuthibitisha ubora coz bongo kuna janjajanja nyingi sana, unaweza pata uthibitusho wa bidhaa kwa kuhonga tu.
Kuhusu makubaliano wana weza kupanga upya.Sent using Jamii Forums mobile app
Bidhaa hzo zimejaa kwa sababu pengine watu wenyewe wanazipenda ikichangiwa na wafanyabiashara ambao si waaminifu wanaoziingiza hzo bidhaa kwa njia ya panya
 
TBS, binafsi sina imani nayo coz mtaani kuna bidhaa nyingi ambazo si salama.
So, waache wapime bidhaa ili kuthibitisha ubora coz bongo kuna janjajanja nyingi sana, unaweza pata uthibitusho wa bidhaa kwa kuhonga tu.
Kuhusu makubaliano wana weza kupanga upya.Sent using Jamii Forums mobile app
tembea uone mkuu, hakuna watu wenye janja janja na hila kama Wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom