Style ya Abood Bus Service inahitaji msaada

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,794
2,322
Nipo hapa Morogoro ninamsubiri mgeni wangu. Ameniambia wamefika ila gari imepitia garage kwa ajili ya check up na mafuta. Gari hii inatoka Mbeya. Hivi kwanini usumbufu huu kwa abiria? Sumatra why aboud???
Kama kuna sheria basi ziwe sawa kwa kampuni zote na ikiwa hivyo ina maana wenye magari wote watapeleka abiria kwenye garage zao.
 
Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
 
Ni kweli abiria wanahitaji hizo huduma off main road. Hawa wamekula Ruaha. Kwanini garage ya Aboud. Naomba utaje makampuni mengine yanayotokomeza abiria off main road.
 
Ata Hood ndiyo staili hiyo gari zote zikitoka kama Mbeya,or Ifakara,au sehemu nyingine lazima ziingie Garage first.
 
Ata Hood ndiyo staili hiyo gari zote zikitoka kama Mbeya,or Ifakara,au sehemu nyingine lazima ziingie Garage first.
Hizi ndio style za kizamani bahati mbaya zimeachwa ziwepo.
 
Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
Nadhan wewe ndo hujaelewa. Abood wanatabia ya kupeleka kwa depot/ garage yao tofauti na stand yao/ kituo chao kilichopo nje ya stand ya msamvu na mara nyingi huwa wanawabadirishia basi haswa kwa mabasi ya ruti ndefu. Nimeshaona mara mbili hio kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mara nyingi ni hivyo kwa route ndefu wanabadilishaga gari
 
Mkuu huenda ni kweli ilishanitokea Naenda mwanza, tumefika Moro tu, ikaingia garage tukatoka kwa muda wanaoutaka wao
Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
 
Haya Mabasi yote nahisi kuna kitu kinakosekana kuhusu Customer Care
Na kitu cha maana wanachoweza kufanya wenye mabasi wakati abiria wanaingia kwenye mabasi watangaziwe na wapewe number maalum kama kutakuwa na kero yoyote basi watume taarifa kwa Customer Unit ya hilo basi

Kuna kero nyingi ambazo nahisi wenye Magari hawazijui. Basi likiondoka kituoni linakuwa chini ya utawala wa Dereva na Kondakta peke yao kitu ambacho nadhani sio sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unakereka nini? Pale wanaenda kujaza mafuta na kuchimba dawa.Siku nyingine panda mabasi mengine kuna mpya SAULI fasta Mbeya au Dar LUX hela yako tuu ndugu sio kulalamika humu.Mabsi yapo mengi tuu
 
Sasa Kama Km za service zimetimia aliburute tu mpaka dar?
Dereva Kama anahisi gari haipo saw a bora alisalimishe .Na sometimes anabadilishiwa gari ili wafike Salama.
 
Nimepanda sana Darlux za Dar - Mwanza/Kahama, sijawahi kupelekwa Gereji. Gari pekee nililowahinkupelekwa gereji ni Mohameid Trans (hawa ilikua kawaida kwao kupita gereji pale Shinyanga kwa ruti karibia zote).

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa tz tu wavivu wa kufikir sana gar nying ni mbovu spana mkononi ukiona gar inapelekwa garage usilaumu mshukuru mungu.

Ukiona haitoshi nunua lako ili usikwazwe
 
Ata mimi huwa najiulizaga why Abood anafanya hivyo kwa bus za mbeya Dar,Arusha,Mwanza na Dodoma.Lazima mpite gereji yake iliyopo mitaa ya saba saba mjini Morogoro.. na muda mwingine ata kwa lisaa limoja au zaidi.pale kuna choo tu kwa abiria
 
Back
Top Bottom