luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Mtoto toka familia bora kabisaaa baba na mama yake wote wana title ya Dr. Baba ni raia wa Ethiopia na mama yake ni mkenya Dr.Rayan shapi. Kijana huyu ana uzoefu wa kuruka na ndege masaa 8000 aliaanza kurusha ndege akiwa na umri wa miaka 17 na mwaka 2007 ndio alianza kurusha ndege za kubeba abiria.
(Najiuliza hapa miaka 17 mm nilikuwa bado napambana na NECTA enzi za Dkt. Ndalichako kqbla hajawa prof )
(Najiuliza hapa miaka 17 mm nilikuwa bado napambana na NECTA enzi za Dkt. Ndalichako kqbla hajawa prof )