Kijana pambana kufa kupona tafuta pesa.

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,130
5,037
Kanisani bila pesa utaonekana si chochote,msikitini vilevile.
Hospital bila pesa utafia kwenye bench.

In short everything &anything is money (doh).
Kijana bila pesa hata kuku watakudharau,Hata beki tatu wa dadako/shemeji atakuona takataka tu.

Kama unaona dalili za kuzeeke bila misingi ya pesa kubali kufa ungali kijana.
Utadhalilika.

Lakini
"The odds are against us, but God is for us.”
 
Ni kweli kabisa, utadharaulika sana iwapo hauna hela.

Ukiwa hauna hela, wakati mwingine akili inasafiri mbali sana kukuonesha shughuli ambazo zitakutajirisha ndani ya muda mfupi.

Ni muhimu kuliepuka hilo, maana halina mwisho mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom