MH.Rais muongezee ulinzi, umlinde na kumpa imani muendesha mashitataka wa serikali (DPP)

othuman dan fodio

JF-Expert Member
Jan 2, 2018
5,708
9,123
Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi.

Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake nzuri muendesha mashitaka mkuu wa serikali kwani amekuwa akifanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, sio mtu wa hulka hapaniki ni mtaratibu na hanajazba hii ni ishara kwamba Rais hakukosea kumuweka kwenye nafasi hiyo.

Ombi langu kwako mh. Rais viongozi wa aina hii ni wachache sn kwenye serikali yako, naomba umuongezee ulinzi umlinde na uendelee kumuamini kwakuwa sio watu wote wanapenda anavyotenda kazi zake kwa weledi na kwa uzalendo ukizingatia nafasi aliyonayo ni nyeti na inagusa watu wengi hasa wasio na uwezo kwani ubambikiziwaji kesi ni mkubwa sn kwa baadhi ya maafisa wa polisi wasio waadilifu.

Mwisho namtakia kazi njema DPP kwa kazi nzuri anayoifanya na kwa maendeleo ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama anatenda haki, ulinzi na nguvu ategemee kwa Mungu. hata rais akimwekea jeshi lote kama hatendi haki katika upepelezi ,Mungu atamuadhibu kwa namna ya ajabu sana.
 
Taifa au kwa faida ya ccm?
Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi.

Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake nzuri muendesha mashitaka mkuu wa serikali kwani amekuwa akifanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, sio mtu wa hulka hapaniki ni mtaratibu na hanajazba hii ni ishara kwamba Rais hakukosea kumuweka kwenye nafasi hiyo.

Ombi langu kwako mh. Rais viongozi wa aina hii ni wachache sn kwenye serikali yako, naomba umuongezee ulinzi umlinde na uendelee kumuamini kwakuwa sio watu wote wanapenda anavyotenda kazi zake kwa weledi na kwa uzalendo ukizingatia nafasi aliyonayo ni nyeti na inagusa watu wengi hasa wasio na uwezo kwani ubambikiziwaji kesi ni mkubwa sn kwa baadhi ya maafisa wa polisi wasio waadilifu.

Mwisho namtakia kazi njema DPP kwa kazi nzuri anayoifanya na kwa maendeleo ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app

get well soon tl
 
Kuweka watu ndani miaka mingi bila kesi kusikilizwa ndio kufanya kazi vizuri!!?

Subiri utupwe kule utakuja kufuta huu uzi. Muulize Kisena wa mabasi ya Mwendokasi, alikuwa bingwa wa kuunga mkono juhudi, leo yupo room moja huko segerea
 
Inawezekana yupo room kwa ualifu alioufanya, sijasema ukifanya uhalifu uachwe eti kwa sababu tu unaunga juhudi, hata wewe ukienda against the law, sheria lazima ichukue mkondo wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi.

Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake nzuri muendesha mashitaka mkuu wa serikali kwani amekuwa akifanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, sio mtu wa hulka hapaniki ni mtaratibu na hanajazba hii ni ishara kwamba Rais hakukosea kumuweka kwenye nafasi hiyo.

Ombi langu kwako mh. Rais viongozi wa aina hii ni wachache sn kwenye serikali yako, naomba umuongezee ulinzi umlinde na uendelee kumuamini kwakuwa sio watu wote wanapenda anavyotenda kazi zake kwa weledi na kwa uzalendo ukizingatia nafasi aliyonayo ni nyeti na inagusa watu wengi hasa wasio na uwezo kwani ubambikiziwaji kesi ni mkubwa sn kwa baadhi ya maafisa wa polisi wasio waadilifu.

Mwisho namtakia kazi njema DPP kwa kazi nzuri anayoifanya na kwa maendeleo ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli DPP anafanya kazi nzuri lakini pia kuna kesi nyingi tu za kubambukiza haswa waliokuwa wafanyakazi wa mashirika ya umma,mfano kuna kesi mojawapo inafanyika kibaguzi haswaaa ,maamuzi yalifanywa na menejiment yote ya shirika na yalikuwa ni maamuzi sahihi kabisa .Jambo la kushangaza Bodi ya shirika kwa kufuata matakwa ya aliekuwa waziri wa sekta husika waliamua kuchagua baadhi ya watu na kuacha wengine ila mradi tu wasiotakiwa wanakomolewa.JPM tunakuomba uingilie kati kama ulivyofanya kwenye kesi ya walioonewa huko Tobora
 
Binafsi sio mpenzi sn wa kusifia mambo yanayofanya na serikali ya awamu ya tano, japo sipingi kwamba yapo mazuri mengi yamefanyika na kustahiri pongezi.

Kikubwa napenda kumpongeza kwa kazi yake nzuri muendesha mashitaka mkuu wa serikali kwani amekuwa akifanya kazi zake kwa uadilifu na uzalendo wa hali ya juu, sio mtu wa hulka hapaniki ni mtaratibu na hanajazba hii ni ishara kwamba Rais hakukosea kumuweka kwenye nafasi hiyo.

Ombi langu kwako mh. Rais viongozi wa aina hii ni wachache sn kwenye serikali yako, naomba umuongezee ulinzi umlinde na uendelee kumuamini kwakuwa sio watu wote wanapenda anavyotenda kazi zake kwa weledi na kwa uzalendo ukizingatia nafasi aliyonayo ni nyeti na inagusa watu wengi hasa wasio na uwezo kwani ubambikiziwaji kesi ni mkubwa sn kwa baadhi ya maafisa wa polisi wasio waadilifu.

Mwisho namtakia kazi njema DPP kwa kazi nzuri anayoifanya na kwa maendeleo ya Taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahakikishe anatenda haki ,kuna kesi ambayo wafanyakazi wamembakiwa kweupe kabisa.
 
Back
Top Bottom