Kwanini upole kama sehemu ya kuadhibiwa?

Kwanini upole kama sehemu ya kuadhibiwa?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,665
Reaction score
89,514
Lbd leo niiulize jamii Kwanini watu wapole,upole wao mnauchukulia kama sehemu ya kuwaadhibu.?

Nayaandika haya kwani kuna viumbe mi naviita vijinga! Upole wanauchukulia kama ujinga ndo sehemu ya kufanya unyang'anyi wao n.k.. nje ya hapa jf lbd nidodose kidogo uhalisia wa tabia yangu moja wapo huku mtaani ni mpole!

Ndio maana natumia jf kama sehemu ya kujifariji kwani hata utengenezaji wa marafiki kidogo tabu! na ndivyo nilivyo na najikubali kuwa hivyo kwani napata muda wa kutosha na naufurahia kukaaa pekee!! Lkn sio kama nina mahusiano mabaya na jamii no ni vizuri kabisa ila muda mwengine najiepusha nawatu fulanifulani ili kuepuka stress na mambo yasiyo na maana!! Hata story ukipiga watu wanataka za kusemana semana kitu ambacho kwenye kichwa changu sina taarifa za hivyo!!.

Sasa hii tabia ya upole kuna baadhi wamekuwa wakiichukulia kama fursa.. ila jamii mnatakiwa mtambue hata wapole wanahisia na wanaweza kuchukua maamuzi magumu pia.. endapo wapo wengine wanaheshimu na kuogopa pia lkn kuna upande hawana akili baadhi nimedili nao na wamekaa sawa lkn inakera
 
ukiwa mpole sana kuna watu watakuzoea mpaka kukushika makalio
 
Back
Top Bottom