Traffic police: Kosa la taa moja ya gari

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,767
1,703
Naomba kuuliza "Ni haki kwa askari wa barabarani kutoza faini ya sh.30,000/= kwa kosa la kutowaka taa moja ya nyuma ya brake?
Leo hii nimejaribu kumuelimisha askari kuwa hiyo taa moja inaweza kuwa pengine imeungua hivi leo lakini bado akaniandikia faini hiyo bila kunisikiliza.
 
Ni halali kuvaa kiatu kimoja wakati unatembea? Itakuaje kama dereva anaekufuata nyuma yako akawa ameweka umakini wake kuiangalia taa yako ya upande wa kulia tu nawe inayowaka ni ya kushoto na umekanyaga breki ghafla?
 
Naomba kuuliza "Ni haki kwa askari wa barabarani kutoza faini ya sh.30,000/= kwa kosa la kutowaka taa moja ya nyuma ya brake?
Leo hii nimejaribu kumuelimisha askari kuwa hiyo taa moja inaweza kuwa pengine imeungua hivi leo lakini bado akaniandikia faini hiyo bila kunisikiliza.
Umekutana na aliyetumwa hela na hazina .
Wengine ni waungwana na wasikivu .

Mi niliwahi kupigwa mara 3 kwa siku. Na yule wa tatu aliniomba radhi kwa kusema ingekuwa ni takwa lake, asingenitoza lakini wamewekewa malengo.
 
Mkuu mbona kawaida mkuu mi kuna siku nilikuwa nasafir kurud dar kuna gar maeneo ya iyovi ilipasua kioo cha mbele kidgo askar wa morogoro mbali na kuwaeleza kuwa itirafu imetokea njian hawakunielewa nililipa 30,000 nikaondoka zangu
 
Anatakiwa akujulishe kwanza kabla hajachukua maamuzi ya faini ikiwa taa ilikua ina siku 2 au zaid haiwaki nawe unalifahamu hilo hapo ni faini tu ila kwa maelezo tatizo linetokea ukiwa njiani na hulifahamu ni onyo na ukarekebishe
 
Naomba kuuliza "Ni haki kwa askari wa barabarani kutoza faini ya sh.30,000/= kwa kosa la kutowaka taa moja ya nyuma ya brake?
Leo hii nimejaribu kumuelimisha askari kuwa hiyo taa moja inaweza kuwa pengine imeungua hivi leo lakini bado akaniandikia faini hiyo bila kunisikiliza.
Minor offense hupaswi faini bali onyo la mdomo na kuelimishwa
 
Tena ni kosa kubwa sana ndio maana zikawekwa mbili,ingekuwa hina tatizo wajapan wangeweka moja tu.
 
traffic wanakera sana na naona maelezo ya maboss wao na waziri wao ni tofauti kabisa na utendaji kazi wao,hilo ni kosa la kuelezwa na wala sio tatizo ukisoma risiti zao zile utaona kuna mjumuisho na sio one bulb au one tyre deffects.tuna malalamiko nao sana ila simu za maboss wao tunazo tuwapigie kila kukicha
ndio wanainchi wanapata nao hawa?

hivi hawana msemaji/page yao humu?
 
Back
Top Bottom