Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,192
- 4,192
Habari wanajukwaa,. Kama ilivyoada yenu ya kuniamkia na mm naitikia MARHABAA!. Kwa umri wangu bila shaka ITIFAKI imezingatiwa.
Kuna mwanafalsa alisema ukitaka kucheka fuatilia namna serikali inavyofanya mambo yake. Basi leo nami nikatamani kucheka. Ili nicheke ilibidi niwaze jambo la TASAF, Kiundani. Mara zote nasema serikali makini ni ile inayofanya mambo kwa uhakika kwa ajiri ya watu wake. Serikali inatoa pesa kwa ajiri ya kaya masikini na nijambo jema(kimatamshi). Dhana kuu ya msaada huu ni kuipunguzia jamii mzigo mkubwa ulionao hasa wa kifamilia. Cha ajabu huyohuyo anaetakiwa apewe msaada ndie anaejidunduliza kuizungusha hela mtaani ili isife kwa mkupuo. Na ndie huyohuyo anaeishi katika nyumba iliyojengwa wakati akilima tumbaku,mbaazi na kunde. na baadhi wakiwa katika nyumba zao ktk hali ya ujane baada ya mume kufa. Analetewa kodi ya nyumba 10000/= Tsh a year. Kwa hiyo nimegundua kumbe serikali inatoa pesa ila inachukua kwa mkono wa pili. Mfano, Mama aliyepewa TASAF 20000 ndie anaetakiwa alipe Kodi ya Jengo analoishi 10000/=Tsh a year. Na kama anabiashara anatakiwa atoe 20000/= a year kwa ajiri ya Kitambulisho. Najaribu kuuliza na kushauri, Kama serikali inataarifa ya kutosha juu ya kaya masikini, kwa nn kodi ya jengo na kitambulisho kisitambue uwepo wa kaya masikini?.
Jamani hela ya pamoja kama vile 10000 ya mjengo, sijui 20000 ya ID na ukijumlisha na mbolea kifuku hii mnaumiza watu. Kodi inatakiwa isikamue watu hivyo. 1+1-2=-1.