Police brutality sayansi traffic lights

ujoka

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
4,002
9,074
Police brutality
Pande za mataa ya sayansi nikiwa kwenye daladala ya tegeta makumbusho nimeshuhudia unyama wa ajabu ambao nilikua sijajiandaa kabisa kuushuhudia mwanzoni mwa mwaka mataa yameruhusu vyombo vyote vipo kwenye mwendo kumbe kuna traffic amemspot bodaboda from distance sasa anamvizia bodaboda ile kufika tu pande za mwanausalama wetu akapigwa ambushi ya kusukumwa yeye na abiria wake chali abiria alikua ni mdada wa makamo pona pona yao walikua na helmet na yule dada aliangukia upande wa magari yatokayo mjini na kuna gari ilikua inakuja bahat nzuri ilifunga break kabla haijaongezea madhara.

Vita ikaanzia pale kijana alipojaribu kubishana na askari kuhusu mbinu hatarish aliotumia apo ndio wakaongezeka trafik wengine wawili na askari mmoja mwenye kifaa cha kuulia almaarufu kama bunduki jamaa amechezea mambata wakat anasindikizwa kwenye kibanda chao cha mpesa humo amechezea vitako vingi sana vya smg mimi kama binadamu wakawaida kabisa nimeumia sana kuona kitu kama hicho kinafanywa na watu wanaotakiwa kutulinda na kututetea mbaya zaid tumewakabidhmpaka na vifaa vyakuulia ambavyo sasa wanavitumia kututisha na kudhulumu haki za raia najua humu kuna mabos wa jesh letu ningeomba wale jamaa waliokua duty leo saa saa tano wachunguzwe na huyu kijana apatiwe haki yake asanteni.
 
Hao jamaa wanyanyasaji sana hasa Linus. Makonda atusaidie kuwawajibisha wale wanakatia watu faini zisizo halali
 
Police brutality
Pande za mataa ya sayansi nikiwa kwenye daladala ya tegeta makumbusho nimeshuhudia unyama wa ajabu ambao nilikua sijajiandaa kabisa kuushuhudia mwanzoni mwa mwaka mataa yameruhusu vyombo vyote vipo kwenye mwendo kumbe kuna traffic amemspot bodaboda from distance sasa anamvizia bodaboda ile kufika tu pande za mwanausalama wetu akapigwa ambushi ya kusukumwa yeye na abiria wake chali abiria alikua ni mdada wa makamo pona pona yao walikua na helmet na yule dada aliangukia upande wa magari yatokayo mjini na kuna gari ilikua inakuja bahat nzuri ilifunga break kabla haijaongezea madhara, vita ikaanzia pale kijana alipojaribu kubishana na askari kuhusu mbinu hatarish aliotumia apo ndio wakaongezeka trafik wengine wawili na askari mmoja mwenye kifaa cha kuulia almaarufu kama bunduki jamaa amechezea mambata wakat anasindikizwa kwenye kibanda chao cha mpesa humo amechezea vitako vingi sana vya smg mimi kama binadamu wakawaida kabisa nimeumia sana kuona kitu kama hicho kinafanywa na watu wanaotakiwa kutulinda na kututetea mbaya zaid tumewakabidhmpaka na vifaa vyakuulia ambavyo sasa wanavitumia kututisha na kudhulumu haki za raia najua humu kuna mabos wa jesh letu ningeomba wale jamaa waliokua duty leo saa saa tano wachunguzwe na huyu kijana apatiwe haki yake asanteni
Polisi wote makatili utadhani ni watoto wa bababashite
 
Waache watuue watumalize wabakie wao na familia zao, mwisho watatafunana wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Hao jamaa wanyanyasaji sana hasa Linus. Makonda atusaidie kuwawajibisha wale wanakatia watu faini zisizo halali
shemeji yangu yalimkuta hayo tumo wote na taa ya green ilikua haijazima akapita mbele kuna kibanda traffic kama 3 ivi akasimamishwa akaambiwa tupe leseni (hii tabia ni mbovu sana) anaambiwa kwann umepita na red right? uku anakata risitia shem kajibu tu ni green light siwezi kuvuka ikiwa red na nyie nawaona hapo na sina mgonjwa humu ndani kusema labda nipitilize na red akamwambia kata tu iyo risiti naharaka tulimwangalia yule traffic tuka &#$%^*%^^(* -traffic wa surrender-bridge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom