Serikali Kibiti yafagilia Kampuni ya Namaingo

Serikali Kibiti yafagilia Kampuni ya Namaingo

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Mkurugenzi wa Namaingo Biubwa Ibrahim (kushoto), akitoa maelezo ya mradi wa shamba la Mikorosho kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Gulamhusein Shabankief (aliyevaa shati la mikono mirefu) na Mbunge wa Kibiti Ally Seif Ungando (kushoto kwa Mkuu wa wilaya). Mradi huu umeanzishwa na Wanachama wa Namaingo katika kijiji cha Ruaruke wilayani Kibiti mkoani Pwani.

Akizungungumza na wanachama, Mkuu huyo wa Wilaya pamoja na uongozi huo walifurahishwa na jitihada za kampuni ya Namaingo kuwa ni muhimu hasa katika kipindi hiki kuwakomboa wananchi kiuchumi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom