Kukausha mti bila kuukata

Kukausha mti bila kuukata

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Posts
1,744
Reaction score
1,944
Za Usiku wana jamvi. Nani anaweza kunisaidia namna ya kuukausha mti bila ya kuukata. Maana ulipo style ya kuukata ni ngumu sana bila ya kuharibu Nyumba au kudondokea nyaya za umeme.
Je kuna njia yoyote mbadala..ukapukutika wenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauchonga maganda kuanzia chini kiunoni kwenda juu kama mita moja au moja na nusu kisha unaupaka chumvi, hakikisha chumvi ni ya kutosha, basi utakauka wenyewe taratibu
 
Unauchonga maganda kuanzia chini kiunoni kwenda juu kama mita moja au moja na nusu kisha unaupaka chumvi, hakikisha chumvi ni ya kutosha, basi utakauka wenyewe taratibu
Chumvi ya kiasi gani?? Maana dogo alijaribu kufanya hiyo kitu lakini bado upo. Je uipake wakati bado mbichi wakati umetoka tu kuupaua magamba au .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia ukubwa wa mti na umri, kuna mingine ina roho za watu au hutumika kama kituo cha vikao usiku. Kama unakata basi toa maganda na uingie ndani ya nyama ya mti.

Barafu la moto
 
Za Usiku wana jamvi. Nani anaweza kunisaidia namna ya kuukausha mti bila ya kuukata. Maana ulipo style ya kuukata ni ngumu sana bila ya kuharibu Nyumba au kudondokea nyaya za umeme.
Je kuna njia yoyote mbadala..ukapukutika wenyewe??

Sent using Jamii Forums mobile app
OmG !! Ndg unaua Mti..,!! Kwanza NI dhambi Bora uhame wewe kuliko kuutesa hivo..
Mti NI nature
My ni kivuli
Mti huleta mvua , ubaridi na hewa nk nk no
Pole mti wetu sote
 
Zipo dawa kabisa ulizia maduka ya pembejeo za kilimo
unauchimba kidogo ktk shina unaipaka wiki haifiki mkavuuuu hata uwe mkubww vip au mti gan
 
Chumvi ya kiasi gani?? Maana dogo alijaribu kufanya hiyo kitu lakini bado upo. Je uipake wakati bado mbichi wakati umetoka tu kuupaua magamba au .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie kuna Mti hapa majani yake yanapukutika sana kipindi cha jua kali nao nishawahi fanya hiyo kitu cha zaidi uliendelea kukua kama kawaida.

Sidhani kama hiyo chumvi ni dawa na kama ni dawa basi ni kwa baadhi ya miti. Ingekuwa inawezekana kuukata tu naona ndio njia nzuri.
 
Back
Top Bottom