Usumbufu uliokithiri ofisi za BRELA

babake nasreen

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
702
490
Jamani BRELA kwanini vijana tunataabika hivi?

Kusajili kampuni hauambiwi wapi umekosea utarudishwaa weee kila siku mara hiki hakipo sawa mara hiki umeruka mara hiki karudie,jamani eeh hii ni shida sasa hii nchi.

Wadau naombeni msaada kwa hili la brela...
 
hawa ni mapiju tena yapo kwenye mshipa wa fahamu. Ukiritimba,

lugha siyo rafiki na mteja, unakuta mtu unatoka mikoani kwa gharama kubwa.

Ukifika pale kichefu chefu, hapa unaambiwa upo sawa, ukienda dirisha 2 unaambiwa haupo sawa.

Yaani ni shida tupu hawajali umetoka mbali na umetumia gharama kufika dar.

Hapa Rais apaangalie kwa jicho la 3 kumewakatisha watu wengi tamaa ya kumiliki kampuni au kupata jina la biashara na kuikoshesha serikali mapato.
 
Je ulifanikiwa mkuu?
 
Kama kazi yako imefanywa kwa umakini usumbufu haupo kwakweli,ni vizuri iwe imefanywa na mtu anayeweza tafsiri sheria ya makampuni au mwenye uzoefu na hizo kazi,pole
 
Kazi iko vizuri kuna wanasheria km wawili hivi walishaipitia iko poa,lkn hata tafsiri tulifanyiwa na advocate na jina la kampuni tayari liko poa, tatizo ni kuwa kila tukienda wanatuambia kitu kimoja hakipo sawa then tunatumia gharama kurudia then tunarudi wanatuambia tena kuna hiki tumekosea then mnarud tena kurudia kwa gharama nyingine,tumereke!isha tukaambiwa kuna marekebisho mengine ila tuanzie reception,tunafika reception tunaambiwa tuulize wenzetu nn tumekosea,tukawa tumeelekezwa kwa dada mwingine ana stationary pale chini tumefika dada naye anasema km vipi mkitaka kwanza tumien memmorundum yangu mtanipa kitu kidogo,maanake tukaanze upya kuprint,edditing,signing,binding,gharama zngne za muhuri wa mwanasheria and signature,then ndio turud atuambie tufanye nn daa mimi hoiii
 
pole kama kesho utakuwa na muda nitafute ,nitafika brela mchana ya saa sita (tukiamka salama),nifahamu tatizo ni nini kisha nitakusaidia bila malipo .0712742233
 
Mkuu nilikuwa cpo online jee naweza kukucheck leo?
 
Back
Top Bottom