Wandugu naombeni mkopo

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
964
1,552
Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema,hakika niko katika wakati mgumu,naombeni yoyote mwenye uwezo na moyo wa msaada anisaidie mkopo wa sh. Laki 5 tu nitatue tatizo ambalo mda si mrefu litatokea,kiufupi mke wangu ni mjamzito na kimebaki kipindi kifupi ajifungue,balance ambayo tumesave imetumika kutokana misiba iliyotokea kwao na mwanamke,kimebaki kiasi kidogo ambacho kinantia waswasii kama endapo akijifungua leo au kesho kitasaidia,mimi nimeajiriwa katika kampuni binafsi uwezo wa kurejesha kiasi hicho cha pesa ninao japo kwa awamu mbili,naishi dar es salaam. Au kama kuna taasisi binafsi ambayo haina usumbufu kwenye kutoa hela naombeni mnisaidie hata jina.Nashukuru sana
 
ngoja waje
 
Eti kuna watu wanasemaga kuwa, ni vibaya mwanamme kusema amepata dharura mkewe anakaribia kujifungua au amejifungua. wanaamini kuwa tangu mimba ya mwezi mmoja alikuwa anajua kitakachotokea hivyo alipaswa kuweka akiba.
Pole kwa msiba wa huko ukweni kwako.
Kuhusu kukusaidia, hebu jaribu kuomba salary advance kwa mwajiri wako mkuu!!
 
Back
Top Bottom