Maadui 10 wa Rais Magufuli 2019/2020

Maadui 10 wa Rais Magufuli 2019/2020

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2012
Posts
462
Reaction score
343
Kheri ya mwaka mpya ndugu wana Jf.

Awali ya yote nimshukuru Mola kwa mwaka mwingine tena. Asante JEHOVA.

Leo ndiyo siku ya kwanza ya mwaka huu 2019 na ninampa ufunuo wa uhakika JPM na hakika mambo yake yatafunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali.

Bila shaka mmeshuhudia misukosuko kadha wa kadha mwaka 2018 katika Taifa letu na jamhuri yetu na pengine tumepitia magumu yasiyohesabika kutokana na uadui.

Sisi tunataka suruhu.Mwaka 2019 uwe ni spesho kwa suruhu ya kudumu ya mambo ya msingi.

Ninaomba nimtajie JPM maadui zake halisi wa 2019/2020.Hawa asipowashughulikia watamletea misukosuko isiyoisha na jamhuri yetu itateketea na kuanguka kabisa.

1.Ajira za walimu wa masomo ya sanaa(2015-2018).
2.Mishahara na madaraja mapya
3.Ukandamizwaji wa Demokrasia
4.Utitiri wa kodi.
5.Matamko ya wateule
6.Unyanyaswaji wa wanyonge
7.Kejeri
8.Kitambulisho cha ujasiliamali kwa kila mjasiliamali(20,000/=)
9.Michango mikubwa ya lazima ya ujenzi wa taasisi za serikali kwa kila pazia(e.g 32,000/=)
10.
 
8. Vifo vya mabenki, haiwezekani kila kukiwa na tatizo, suluhu isipatikane bila kuumiza wananchi, yaani bila kukuza tatizo; mabenki yafe wananchi wanateseka akaunti zinazuiliwa zaidi ya mwaka, benki inafilisika je hawa wateja wa haya mabenki kwa kila benki niwangapi? na iwapo mtu ana mili 40, iweje alipwe mil1.5 tu? wakati aliweka hela zake benki baada ya serikali kuwapa hao mabenki leseni ya biashara TZ. Wananchi wengi wameumia tz kote, na hili aliangalie wengine ni bibi na babu ambao waliweka fedha zao za kiinua mgongo, je wage kwa kupotea hela zao? je walipoweka hela nyumbani mzee alilalamika kuwa hela zimefichwa, wameweka benki, benki zinakufa na hela zao, what is this? JPM
 
Poleni sana Leo tar 15 Jan 2019,bank M nayo imefilisika
 
Kheri ya mwaka mpya ndugu wana Jf.

Awali ya yote nimshukuru Mola kwa mwaka mwingine tena. Asante JEHOVA.

Leo ndiyo siku ya kwanza ya mwaka huu 2019 na ninampa ufunuo wa uhakika JPM na hakika mambo yake yatafunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali.

Bila shaka mmeshuhudia misukosuko kadha wa kadha mwaka 2018 katika Taifa letu na jamhuri yetu na pengine tumepitia magumu yasiyohesabika kutokana na uadui.

Sisi tunataka suruhu.Mwaka 2019 uwe ni spesho kwa suruhu ya kudumu ya mambo ya msingi.

Ninaomba nimtajie JPM maadui zake halisi wa 2019/2020.Hawa asipowashughulikia watamletea misukosuko isiyoisha na jamhuri yetu itateketea na kuanguka kabisa.

1.Ajira za walimu wa masomo ya sanaa(2015-2018).
2.Mishahara na madaraja mapya
3.Ukandamizwaji wa Demokrasia
4.Utitiri wa kodi.
5.Matamko ya wateule
6.Unyanyaswaji wa wanyonge
7.Kejeri
8.
9.
10.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana WA uvccm watajibu mapigo muda si mrefu jiandae kwa kejeli na matusi
 
Write your reply...mwacheni afanye kazi yake.......huyo aliyepita mwenyewe mlimsema......duniani huwezi fanya kitu ukapendwa na kila mtu......ukiona anahalibu nenda kagombee wewe uyalekebishe makosa yake.
 
Back
Top Bottom